To see the other types of publications on this topic, follow the link: Kisha.

Journal articles on the topic 'Kisha'

Create a spot-on reference in APA, MLA, Chicago, Harvard, and other styles

Select a source type:

Consult the top 50 journal articles for your research on the topic 'Kisha.'

Next to every source in the list of references, there is an 'Add to bibliography' button. Press on it, and we will generate automatically the bibliographic reference to the chosen work in the citation style you need: APA, MLA, Harvard, Chicago, Vancouver, etc.

You can also download the full text of the academic publication as pdf and read online its abstract whenever available in the metadata.

Browse journal articles on a wide variety of disciplines and organise your bibliography correctly.

1

Topalli, Kolec. "Huazimet greke të sferës fetare." Studime Filologjike, no. 3-4 (December 17, 2023): 99–106. http://dx.doi.org/10.62006/sf.v1i3-4.3157.

Full text
Abstract:
Krishterimi ka qenë feja e parë që përqafuan shqiptarët pas paganizmit, para më shumë se dymijë vjetësh. Si në shumë vende të Mesdheut, ai hodhi rrënjë nga apostujt e dishepujt e tyre që në periudhën apostolike1. Por, me ndarjen e Perandorisë Romake në të Perëndimit e të Lindjes, edhe Kisha u nda në dy pjesë, nga njëra anë kisha katolike me qendër Romën, nga ana tjetër, kisha ortodokse me qendër Konstantinopolin. Për hir të lashtësisë së krishterimit ndër shqiptarë, terminologjia më e hershme kishtare është me prejardhje latine, si rrjedhim, ajo vijoi edhe në kishën ortodokse. Prandaj terma të
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
2

Dhia Ardhina Salsabila and Tatang Hariri. "Penerjemahan Ungkapan Kenjougo dan Konsep Uchi-Soto pada Takarir Drama Shimbun Kisha." Ayumi : Jurnal Budaya, Bahasa dan Sastra 10, no. 2 (2023): 101–21. http://dx.doi.org/10.25139/ayumi.v10i2.6658.

Full text
Abstract:
Penelitian ini bertujuan untuk menganalisis bentuk penerjemahan ungkapan honorifik kenjougo dan konsep uchi-soto dalam takarir drama Shimbun Kisha (The Journalist) tahun 2022. Penelitian ini menggunakan metode deskriptif kualitatif dengan teori honorifik kenjougo yang dikemukakan oleh Iori (2001). Iori mengungkapkan bahwa terdapat tiga bentuk yang termasuk ke dalam honorifik kenjougo yaitu dengan verba tidak khusus (o~suru), verba khusus, dan nomina (prefiks o/go). Sumber data yang digunakan dalam penelitian ini diambil dari data lisan dan tulisan yang terdapat dalam drama Shimbun Kisha episod
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
3

Lloshi, Xhevat. "Fjalorët shqip-anglisht e anglisht-shqip dhe «Fjalori anglisht-shqip» i Stuart Manit." Studime Filologjike, no. 4 (October 11, 2023): 119–28. http://dx.doi.org/10.62006/sf.v1i4.2969.

Full text
Abstract:
Në fillim të shekullit të kaluar, përforcimi i politikës angleze, ne rivalibet me Francën, për depërtimin në Ballkan, na ka dhënë shënimet « udhëtàmit të Hobhauzit dhe të Martin-Likut. Duke përmendur shqipen në një shtojcë të veprës së vet Hobhauzil vëren se nuk ka dëgjuar që të jetë e shkruar, prandaj na jep të përkthyer gramatikën e F. da Leçes. Për këtë shkak leksikografisë i ka humbur fjalori i parë shqip-angiisht, qoftë edhe prej disa fjalësh të një krahine. Hobhauzi shkruan kështu në shtojcën (f. 1126) : «Kisha mbledhur me vështdrësd një fjalor të shqipes së folur nga fshatrat e Atikës d
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
4

Kelly, William, Tomoko Masumoto, and Dirk Gibson. "Kisha kurabu and koho: Japanese media relations and public relations." Public Relations Review 28, no. 3 (2002): 265–81. http://dx.doi.org/10.1016/s0363-8111(02)00133-9.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
5

Meksi, Aleksandër, and Damian Komata. "Kisha e Shën Mërisë e Brrarit / L'église de Sainte Marie à Brrar." Iliria 17, no. 2 (1987): 215–27. http://dx.doi.org/10.3406/iliri.1987.1460.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
6

Mwangi, James, Nabea Wendo, and Sheila Wandera. "Mikakati ya Ushawishi katika Jumbe za Kihalifu kwenye Facebook na Baruapepe." East African Journal of Swahili Studies 6, no. 1 (2023): 180–93. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.6.1.1252.

Full text
Abstract:
Mawasiliano yameimarika sana katika karne ya ishirini na moja kufuatia uvumbuzi wa teknolojia ya mawasiliano. Namna uvumbuzi unavyoendelea kuwepo ndivyo visa vya uhalifu wa mitandaoni vinavyozidi kuongezeka. Wahalifu hutumia baruapepe, Instagram, Twitter, WhatsApp, Facebook na njia nyinginezo za mitandaoni kuwadanganya watu, kuwaibia watu hela, kusambaza jumbe chafu za kiponografia, kuingilia data za wenyewe bila ruhusa na kusambaza jumbe za vitisho kwa watumiaji wa mitandao hii. Wahalifu hutumia ushawishi kutuma jumbe kama vile za ushindi wa pesa, ugawaji urithi, masuala ya kibiashara, jumbe
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
7

Qaka, Adnan. "Roli i Kishës Ortodokse Serbe në dëm të çështjes së Kosovës (1912-1999)." Univers 23, no. 23 (2023): 206–17. http://dx.doi.org/10.59164/univers.v23i23.624.

Full text
Abstract:
Punimi “Roli i kishës ortodokse serbe në dëm të çështjes së Kosovës nga viti 1912 e deri në vitin 1999” paraqet një studim lidhur me institucionin shumë të fuqishëm të gjithë historisë së popullit serb. Fjala është për kishën ortodokse serbe, e cila pa dyshim mbetet një nga katër faktorët më të fuqishëm që historikisht e kanë dëmtuar çështjen e Kosovës dhe shqiptareve në përgjithësi. Kisha serbe është bashkëpunëtore me pushtetin serb në masakrimin, gjenocidin dhe etnocidin serb mbi shqiptarët, nga viti 1912 deri në ditët e sotme. Me bekimin e kishës, paramilitarët serbë, si dhe me mbështetjen
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
8

Wekesa, Winnie Musailo. "Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 2 (2022): 15–28. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.2.886.

Full text
Abstract:
Rasimu ya mtalaa mpya wa elimu nchini Kenya imebaini vipengele anavyopaswa kuzingatishwa mwanafunzi ili kuimarisha uwezo na maarifa yake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Hali hii imetokana na mpango wa kufanyia mtaala wa elimu mabadiliko ili kumudu mahitaji ya jamii katika karne ya ishirini na moja. Silabasi ya sasa ya Kiswahili kwa shule za upili inaeleza kwa wazi vipengele vya kufundishwa katika sarufi na matumizi ya lugha. Sentensi ni mojawapo ya vipengele vya sarufi vinavyofundishwa katika shule za upili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kuna aina tatu kuu za sentensi kimuundo; miongo
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
9

TSUTSUMI, Ichiro. "Establishment of the OSAKA KISHA SEIZO GOSHI-KAISHA and relation to the HIRAOKA WORKS." Proceedings of Conference of Kanto Branch 2003.9 (2003): 325–26. http://dx.doi.org/10.1299/jsmekanto.2003.9.325.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
10

Kasebele, Aneth. "Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984)." Jarida la Kiswahili 86, no. 1 (2023): 55–68. http://dx.doi.org/10.56279/jk.v86i1.4.

Full text
Abstract:
Makala hii inachunguza dhima ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio. Tafiti kuhusu matumizi ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio zimeishia katika ngazi ya kubainisha tu pasi na kuchambua dhima zake. Kitendo cha kubainisha tu bila kuchambua dhima za ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio hakioneshi umuhimu wa kipengele hicho cha kifasihi simulizi katika kazi za fasihi andishi. Data za makala hii zilipatikana maktabani kwa kusoma tamthiliya ya Lina Ubani kisha kuchambua dhima ya ngoma. Uchambuzi wa data za makala hii umeongozwa na Nadharia ya Uamili
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
11

Msigala, Selestino H. "Mkengeuko wa Malezi kwa Wahusika katika Riwaya ya <i>Rosa Mistika</i>." Kioo cha Lugha 22, no. 1 (2025): 149–63. https://doi.org/10.4314/kcl.v22i1.10.

Full text
Abstract:
Makala hii imechunguza mkengeuko wa malezi wa wahusika katika riwaya ya Rosa Mistika. Data za makala zimepatikana maktabani kwa mbinu ya usomaji makini wa matini ya riwaya husika na kisha kuchambua data hizo kwa mkabala wa kimaudhui na kuziwasilisha kwa mkabala wa kitaamuli. Makala imeongozwa na misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi katika ukusanyaji na uchambuzi wa data. Matokeo yanaonesha kuwapo kwa matukio mengi ya wahusika kukengeuka malezi katika riwaya hii. Matukio hayo ni ubakaji, kujiua, rushwa, umalaya, kupuuza ushauri na matusi. Matukio haya yameoneshwa katika kazi husika kwa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
12

Jarolimek, Stefan. "Sven Engesser: Kisha-Club-System und Informationsfreiheit. Vergleich der Arbeitsbedingungen von Auslandskorrespondenten in Japan und Deutschland." Publizistik 53, no. 1 (2008): 161. http://dx.doi.org/10.1007/s11616-008-0059-9.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
13

Chepkwony, Joyce, Fred Wanjala Simiyu, and Margan Adero. "Maudhui katika Nyimbo Teule Kwenye Kipindi cha Rauka." East African Journal of Swahili Studies 2, no. 2 (2020): 32–43. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.2.2.183.

Full text
Abstract:
Utafiti huu unahusu maudhui katika nyimbo teule kwenye vyombo vya habari, mfano ni nyimbo katika kipindi cha Rauka katika runinga ya Citizen. Utafiti ulichochewa na haja ya kutaka kuchunguza nafasi ya vyombo vya habari katika kuhuisha fasihi simulizi kupitia utanzu wa nyimbo. Tafiti za awali zilichunguza tanzu nyingine kama mazungumzo na maigizo. Utafiti huu ulidhamiria hususan: Kubainisha vigezo vilivyotumiwa kuteua nyimbo zinazochezwa kwenye kipindi cha Rauka; Kuonyesha maudhui katika nyimbo teule; Kuchunguza mbinu za lugha zilizotumiwa kuwasilisha maudhui za nyimbo zinazoteuliwa na kuchezwa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
14

Mwangi, Jackson Ndung’u. "Uhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogo." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (2022): 124–30. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.671.

Full text
Abstract:
Fasihi ni zao la jamii na hubadilika kila uchao. Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya. Hii ni kwa sababu, kutokana na jinsi dunia inavyobadilika ndivyo masuala ya kiteknolojia pia yanavyoathiri fasihi ya sasa na kuipa mguso na taathira mpya. Licha ya uwakilishi wa TEKNOHAMA kuwa na umuhimu katika kukuza fani na maudhui katika fasihi, mchango wake katika tamthilia ya Kigogo haujafanyiwa utafiti, suala linalomchochea mtafiti kulitafiti. Lengo kuu la utafiti huu ni kutathmini mchango wa TEKNOHAMA katika kukuza maudhui katika tamthilia ya Kigogo ya Paul
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
15

TSUTSUMI, Ichiro. "Engineers of the OSAKA KISHA SEIZO GOSHI-KAISHA and products of this works in the early days." Proceedings of the JSME annual meeting 2003.5 (2003): 409–10. http://dx.doi.org/10.1299/jsmemecjo.2003.5.0_409.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
16

Susan C. Choge; Fred S. Wanjala, Henry F. Andele;. "Falsafa ya Jazanda ya Uongozi na Mauko katika Methali za Jamii ya Wanyore: Mtazamo wa Kisemantiki." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (2020): 163–72. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.175.

Full text
Abstract:
Makala hii inatokana na utafiti ambao uliazimia kutathmini falsafa ya jazanda katika methali za Wanyore kwa mtazamo wa kisemantiki. Madhumuni ya makala yenyewe yanahusu falsafa ya uongozi na mauko katika methali za Wanyore. Nadharia ya Uhusiano ya Sperber na Wilson (1986) na iliyoendelezwa nao (2004) ndiyo iliyoongoza makala hii. Nadharia hii ilitumiwa kufafanulia maana za methali katika jamii ya Wanyore. Data ilikusanywa kutoka kwa Wanyore wanaoishi katika kaunti ndogo ya Emuhaya na Luanda katika kaunti ya Vihiga. Makala haya yalitumia njia za uchanganuzi matini na mahojiano kukusanya data. V
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
17

Faustine, Stella. "Mdhihiriko wa nyuso za mwanamke katika riwaya ya <i>Nyuso za Mwanamke</i> (2010) ya said Ahmed Mohammed." Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) 4, no. 4 (2024): 80–92. http://dx.doi.org/10.4314/jclfkt.v4i4.6.

Full text
Abstract:
Said Ahmed Mohammed ni miongoni mwa waandishi nguli katika fasihi ya Kiswahili. Katika kazi zake, anazungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Kwa upande wa utamaduni, anajichomoza kama mtetezi wa wanawake kwa kuonesha madhila mbalimbali anayokumbana nayo katika jamii. Katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke, anatumia dhana ya nyuso kama kibainishi cha namna mwanamke anavyoonekana katika jamii. Aidha, shabaha ya makala hii ni kudhihirisha namna mbalimbali za mwonekano wa mwanamke kama inavyojitokeza ndani ya riwaya hiyo. Uchunguzi na mjadala uliongozwa na Nadharia ya Ufemini
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
18

Kiplimo, Cheruiyot Evans, and Leonard Chacha Mwita. "Athari za Udondoshaji wa Kihistoria wa Fonimu za Likwidi Katika Fonolojia Arudhi." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (2022): 12–24. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.527.

Full text
Abstract:
Kiswahili ni lugha mojawapo ya Kiafrika inayochangia ujifunzaji wa fonolojia. Wanaisimu wamejadili mifanyiko ya kifonolojia katika Kiswahili bila kugusia swala la athari zake katika vipashio vikubwa kuliko fonimu. Hata hivyo, siyo mifanyiko yote ya kifonolojia ndio huathiri fonolojia arudhi ya lugha husika. Fonimu zinapoungana ili kuunda vipashio vikubwa vya lugha kama vile silabi na neno, zinaathiriana katika viwango mbalimbali. Athari zingine huwa ndogo kiasi kwamba hazionekani bayana ilhali athari zingine huwa kubwa kiasi cha kuonekana bayana. Mfanyiko wa kifonolojia unaohusishwa na utoweka
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
19

Bria, Gianfranco, and Maria Chiara Giorda. "“They are all here to see and touch”." Fieldwork in Religion 19, no. 1 (2024): 144–68. http://dx.doi.org/10.1558/firn.29319.

Full text
Abstract:
The sanctuary of St Anthony of Padua (Kisha e Shna Ndout) in Laç, northern Albania, is one of the most visited religious places in Albania. The small church, built there and ministered by Franciscans, is now an impressive place of worship frequented by Catholics, Muslims and Christian Orthodox. Throughout the year, pilgrims from across the country, but also from Kosovo, visit the sanctuary. On the 12th and 13th of June of each year, an official pilgrimage is held, which reaches its climax on the night of the 12th when many thousands of Albanians sleep in the shrine seeking blessings and healin
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
20

Ilomo, Leonard Flavian. "Uolezi1 katika Kujenga Utambulisho wa Wahusika katika Riwaya za Nagona na Mzingile za Euphrase Kezilahabi." Kioo cha Lugha 20, no. 2 (2023): 150–64. http://dx.doi.org/10.4314/kcl.v20i2.1.

Full text
Abstract:
Uolezi ni mbinu muhimu ya kinaratolojia katika kueleza mtazamo au mwono. Hii ni mbinu inayotofautisha baina ya nani anaona na nani anasimulia. Kimsingi, mbinu hii hutumika katika kujenga uelewa na mtazamo juu ya masuala mbalimbali katika matini simulizi (Flavian, 2021). Dhima mojawapo ya mbinu hii inayojitokeza kwa uwazi ni kumfanya msomaji aone jambo fulani na kisha achukue mtazamo ambao utamwezesha kuyatazama mambo kwa mwelekeo fulani. Hata hivyo, kutokana na uchambuzi wa riwaya za Nagona (Kezilahabi, 1990; 2011) na Mzingile (Kezilahabi, 1991; 2011) ambao tumeufanya katika makala hii, uolezi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
21

Msigwa, Arnold B. G., and Judith Maro. "Utenge wa tafsiri kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili katika mabango yaliyopo Barabara Kuu ya Moshi – Arusha." Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) 4, no. 4 (2024): 15–30. http://dx.doi.org/10.4314/jclfkt.v4i4.2.

Full text
Abstract:
Katika Barabara Kuu ya Moshi-Arusha, eneo la Usa River, kuna mabango anuwai ambayo yanalenga kutangaza biashara na shughuli zinazofanywa na asasi na watu binafsi. Kutokana na mwingiliano wa watu wanaotumia barabara hii, mabango haya yamelazimika kutumia uwililugha1, yaani Kiingereza na Kiswahili. Uchunguzi wa awali uliofanywa kwenye mabango mengi yaliyopo katika barabara hiyo umebaini kuwa, mbali na mambo mengine, utenge wa wazi katika tafsiri zilizomo katika mabango hayo. Hicho ndicho kilichotuchochea kufanya utafiti ulioibua makala hii. Jumla ya mabango 30 yalikusanywa kwa njia ya kupiga pic
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
22

Castellvi, César. "Les Clubs de presse au Japon." Sur le journalisme, About journalism, Sobre jornalismo 8, no. 2 (2019): 124–37. http://dx.doi.org/10.25200/slj.v8.n2.2019.406.

Full text
Abstract:
&#x0D; &#x0D; FR. En partant de l’analyse des clubs de presse japonais, cet article porte sur le rôle joué par les entreprises médiatiques dans les relations des journalistes aux sources institutionnelles. En tant que principale forme d’accès aux sources, les clubs de presse (kisha kurabu) sont des rassemblements de reporters accrédités aux institutions majeures de la société (ministères, administrations, grandes entreprises, commissariats). Ils se distinguent d’autres formes d’associations de journalistes par leur présence systématique à l’ensemble du pays ainsi que par leur modalité d’accès.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
23

McGee-Lockhart, Olivia, Kisha Tandy, and Andrea Copeland. "Three Journeys: One Project." ENGAGE! Co-created Knowledge Serving the City 1, no. 1 (2019): 32–44. http://dx.doi.org/10.18060/22812.

Full text
Abstract:
The Bethel Project is about the history of Indianapolis’ oldest black church, archival records, preservation technologies, virtual experiences, and collaboration and co-creation among many different departments, heritage institutions and community members. This paper provides three perspectives on this project from individuals who’ve worked closely together over the past four years. This may seem like a long while to work on one project but for those whose research is community-based it seems about right. Three unique voices will be presented with each telling their own narrative of what she t
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
24

Pembe, Hilda, and Chipanda Simon. "Tafsiri au Uandishi Mpya: Uchambuzi wa Tamthiliya ya Kinjeketile." Journal of Kiswahili and Other African Languages 1, no. 2 (2023): 54–62. http://dx.doi.org/10.58721/jkal.v1i2.402.

Full text
Abstract:
Tafsiri hujishughulisha na usafirishaji wa ujumbe ulio katika maandishi kutoka lugha asilia kwenda lugha pokezi ambao hufanywa na mwandishi mwenyewe au mtaalamu mwingine. Makala haya yanachunguza tamthiliya ya Kinjeketile iliyoandikwa kwa Kiswahili kwa mara ya kwanza mwaka 1969 kisha ikatafsiriwa kwa Kiingereza na mwandishi mwenyewe Ebrahimu Hussen kama Kinjeketile mwaka huo huo wa 1969. Kimahususi, makala inachunguza ni kwa namna gani mtafsiri ameweza kuweka usawa wa ujumbe na mtindo baina ya matini asilia na matini pokezi wakati yeye ndiye mwandishi wa tamthiliya hiyo na ameitafsiri mwaka hu
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
25

Jafet, Janeth, and Perida Mgecha. "Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu." East African Journal of Swahili Studies 7, no. 1 (2024): 170–81. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.7.1.1826.

Full text
Abstract:
Makala hii inachunguza maana za majina ya asili ya watoto katika jamii ya Waasu. Malengo mahususi yakiwa kwanza kubaini majina ya asili ya watoto, na pili kueleza maana zilizobebwa na majina hayo. Utafiti huu ni wa kitaamuli hivyo umetumia usanifu wa kifenomenolojia. Watoataarifa waliohusika katika kutoa data ni 18 ambao wamepatikana kwa mbinu ya usampulishaji tabakishi na usampulishaji tajwa. Data za makala hii zimekusanywa kwa kutumia mbinu ya usaili na majadiliano ya vikundi lengwa; kisha zikachanganuliwa kwa mbinu ya kusimba maudhui. Nadharia ya Uumbaji iliyoasisiwa na Sapir (1958) ndiyo i
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
26

Nicholas, George. "Blurring Timescapes, Subverting Erasure. Remembering Ghosts on the Margins of History (Sarah Surface-Evans, A. E. Garrison, Kisha Supernant, editors)." Canadian Journal of Archaeology 46, no. 1 (2022): 138–40. http://dx.doi.org/10.51270/46.1.138.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
27

Mbijima, Rose J. "Dhima ya Visasili katika Riwaya za Nagona na Mzingile." Jarida la Kiswahili 87, no. 1 (2024): 108–25. http://dx.doi.org/10.56279/jk.v87i1.7.

Full text
Abstract:
Nagona na Mzingile ni riwaya zilizoibua mjadala mkubwa katika fasihi ya Kiswahili. Upekee wa riwaya hizo umewasukuma wataalamu wengi kuandika mengi kuhusiana nazo. Makala hii imechangia katika mjadala huo kwa kuvishughulika visasili vilivyomo katika riwaya hizo. Kwa hiyo, malengo ya makala hii ni kuvibainisha visasili hivyo kisha kujadili dhima yake katika riwaya teule. Makala ilihusisha usomaji wa riwaya tajwa kabla ya kuanza kuvichambua visasili vilivyoshughulikiwa. Ili kukamilisha malengo yake, makala imetumia nadharia mbili, yaani Nadharia ya Mwingilianomatini na Nadharia ya Uhemenitiki. N
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
28

Bria, Gianfranco, and Maria Chiara Giorda. "Religious Materiality and Virtual Sainthood: The Case of Shna Ndou (St. Anthony) Pilgrimage in Laç." Religions 14, no. 9 (2023): 1113. http://dx.doi.org/10.3390/rel14091113.

Full text
Abstract:
The interdisciplinary perspective, between history and anthropology, of our contribution has as its subject the pilgrimage at Kisha e Shna Ndout (Sanctuary of St. Anthony of Padua) in Laç, northern Albania, which is one of the most visited religious sites in southeastern Europe. The church, built there and ministered by Franciscans, is now an impressive place of worship frequented throughout the year by thousands of pilgrims. On the 12th and 13th of June of each year, an official pilgrimage is held, which reaches its climax on the night of the 12th, when thousands of Albanians sleep in the shr
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
29

Mbijima, Rose Jackson. "Uhakiki wa Kimwingilianomatini katika Fasihi ya Watoto: Mambo ya Msingi ya Kuzingatia." MULIKA 43, no. 1 (2024): 136–54. https://doi.org/10.56279/mulika.na43t1.8.

Full text
Abstract:
Kazi za fasihi ya watoto kama zilivyo kazi nyingine za fasihi ya Kiswahili zina mwingiliano wa matini wa kiwango cha juu. Hii ina maana kwamba, Nadharia ya Mwingilianomatini iliyoasisiwa na Julia Kristeva, ambayo hutumika kuhakiki kazi za fasihi ya watu wazima, hutumika pia kuhakiki kazi za fasihi ya watoto. Kuna mambo ya msingi kadhaa ambayo mtumiaji wa nadharia hii anapaswa kuyazingatia. Hivyo, makala haya yanalenga kubaini mambo ya msingi ya kuzingatia wakati wa kuhakiki kazi za fasihi kwa kutumia Nadharia ya Mwingilianomatini. Ili kufikia lengo hili, makala yanaielezea nadharia husika amba
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
30

Antony, Waithiru Kago, Wendo Nabea, and Sheila Wandera-Simwa. "Nafasi ya Vifaa katika Kukuuza Anthroposenia katika Riwaya za Emmanuel Mbogo na Katama Mkangi: Mfano wa Bustani ya Edeni, Vipuli vya Figo, na Mafuta." East African Journal of Swahili Studies 7, no. 1 (2024): 297–307. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.7.1.1996.

Full text
Abstract:
Makala haya yametathmini nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya mbili za Emmanuel Mbogo: Bustani ya Edeni na Vipuli vya Figo, na moja ya Katama Mkangi; Mafuta. Kwa jumla, anthroposenia humlaumu binadamu pekee kama asili ya uharibifu wa mazingira ulimwenguni. Waandishi hawa wawili wamefanikiwa kusawiri nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia kupitia riwaya zao teule. Lengo kuu ya makala haya lilikuwa kujadili nafasi ya vifaa katika kukuuza anthroposenia katika riwaya tatu zilizotajwa. Riwaya hizi tatu zilisomwa na mtafiti, kisha data iliyodhihirisha nafasi ya vifaa kati
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
31

Obondo, Peres Akello, Juliet Akinyi Jagero, and Naomi Nzilani Musembi. "Athari ya Upokezi wa Matendo ya Utu kwa Binadamu: Mfano wa Riwaya za Said Ahmed Mohamed." Journal of Kiswahili and Other African Languages 3, no. 1 (2025): 12–20. https://doi.org/10.58721/jkal.v3i1.936.

Full text
Abstract:
Ili pawepo na mahusiano mema kati ya binadamu, lazima pawepo na utu. Utu, hasa huhusishwa na binadamu. Hali kadhalika, huhusisha wema wowote unaomtendea mtu. Waandishi mbalimbali wa fasihi ya Kiswahili wamedhihirisha utu katika utunzi wao. Mtu anapopokea tendo la utu, huathirika kwa namna mbalimbali. Makala haya yanachunguza athari ya upokezi wa matendo ya utu kwa binadamu. Lengo kuu la makala ni kueleza binadamu anavyoathirika kwa njia mbalimbali kutokana na utu wa viumbe wa kiuhalisiajabu. Viumbe wa kiuhalisiajabu kama wanavyoitwa ni viumbe wenye sifa za kiajabuajabu. Ni viumbe tofauti na bi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
32

Obwogi, Dickens Bonyi, Stephen Oluoch, Riro Matinde, and Ezra Nyakundi. "Nafasi ya Mtindo Katika Utunzi wa Nyimbo Asili za Jamii ya Abagusii Kudhihirisha Ubabedume." East African Journal of Swahili Studies 7, no. 1 (2024): 429–39. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.7.1.2267.

Full text
Abstract:
Utafiti huu ni sehemu ndogo ya utafiti wetu wa uzamifu ambao ulijikita kwenye mada Uchanganuzi wa Ubabedume katika Nyimbo Asili za Jamii ya Abagusii. Katika makala hii tumechambua namna mtindo umetumika katika nyimbo asili za jamii ya Abagusii kudhihirisha ubabedume. Katika utafiti huu tuliongozwa na nadharia ya Umtindo ambapo tulilenga kuchambua namna vipengele mbalimbali vya mtindo vimetumika katika utunzi wa nyimbo asili za jamii ya Abagusii kudhihirisha ubabedume. Tumeangazia baadhi ya vipengele vya kimtindo kama vile; tashbihi, maswali balagha, jazanda, usimulizi na takriri. Data za utafi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
33

Ondiek, Odhong’ Joseph, Debora Nanyama Amukowa, and Beverlyne Asiko Ambuyo. "Mitindo ya Lugha Inayowabainisha Wahusika Wazimu katika Riwaya za Habwe." East African Journal of Swahili Studies 6, no. 1 (2023): 243–58. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.6.1.1345.

Full text
Abstract:
Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni zinaonyesha ongezeko la idadi ya wazimu katika jamii duniani kote (Kovacevic, 2021). Waandishi wa fasihi wamewaumba wahusika wazimu wakiakisi mazingira wanamoishi. Tangu jadi wahakiki wamejitahidi kueleza vipi wahusika wazimu wametumika katika fasihi. Tahakiki za tamthilia za Shakespeare na za Kiingereza za karne ya ishirini zimeeleza namna na sababu za uumbaji wao. Katika riwaya za Kiswahili hakuna tahakiki zinazoshughulikia wahusika wazimu wala mitindo ya lugha inayowabainisha. Makala hii ilidhamiria kuchanganua mitindo ya lugha inayowabainisha wahusika
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
34

Melaku, Zelalem, and Samuel Gondere. "Determiner Morphology of Ale." Journal of Linguistics, Literature, and Language Teaching (JLLLT) 3, no. 1 (2023): 53–59. http://dx.doi.org/10.37249/jlllt.v3i1.688.

Full text
Abstract:
This study was focused on describing the determiner of the Ale language. Therefore, the study followed a descriptive research design and language consultants were selected using purposeful sampling. Then, the linguistic data was collected using interviews, focus group discussions and elicitation. The collected data were analyzed using qualitative methods. The findings show that the demonstrative determiner in Ale is used to show something is near to the speaker/ listener, expressed by husi 'This' for singular and hisi 'These' for plural. Oppositely, to describe some things far from the speaker
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
35

Lupogo, Issaya. "Utata wa Baadhi ya Viambishi Tamati katika Vitenzi vya Kiswahili." Journal of Kiswahili and Other African Languages 3, no. 1 (2025): 47–58. https://doi.org/10.58721/jkal.v3i1.1038.

Full text
Abstract:
Baadhi ya viambishi tamati katika vitenzi vya Kiswahili vimechanganuliwa na kuelezwa kwa namna zinazokinzana miongoni mwa wanaisimu mbalimbali. Makala hii inafafanua utata unaojitokeza katika suala hilo na kisha kupendekeza suluhisho muafaka. Makala hii ni matokeo ya utafiti wa mapitio ya machapisho pamoja tajiriba ya elimu ya sayansi ya lugha ya Kiswahili ya mwandishi akiwa na uzoefu wa kufundisha isimu ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza chuoni kwa miaka zaidi ya kumi. Aidha, mwandishi anajenga hoja za kimantiki baada ya tafakari tunduizi ya masuala tatanishi huku hoja hizo zikishadadiwa kwa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
36

Joachim, Melly Kipchirchir, Eric Walela Wamalwa, and Sangai Mohochi. "Matumizi ya Lugha ya Kinandi katika Kuendeleza Kilimo kupitia Vipindi vya Runinga ya Kass." East African Journal of Swahili Studies 8, no. 1 (2025): 301–13. https://doi.org/10.37284/jammk.8.1.2958.

Full text
Abstract:
Wakulima wengi nchini Kenya hupatikana katika maeneo ya mashambani ambako mawasiliano mengi huwa katika lugha za kiasili. Vyombo vya habari ni miongoni mwa asasi ambazo zimechangia pakubwa katika kukuza matumizi ya lugha za kiasili na kuwahamasisha wananchi kuhusu kilimo. Kwa sababu hiyo, juhudi nyingi zimeelekezwa katika kuwafikia wakulima ambao ni wahusika wakuu katika sekta ya kilimo ili kuwapa elimu ya kujiendeleza. Lugha ya Kinandi ni mojawapo ya lugha za kiasili ambayo hutumiwa katika runinga ya Kass. Utafiti huu ulilenga kuchunguza jinsi lugha ya Kinandi hutumika kuinua viwango vya kili
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
37

Munyao, Josephine Kanini, Wendo K. Nabea, and Pamela Sheila Wandera. "Mbinu za Kimtindo Zinazojenga Utaifa wa Jamii ya Akamba." Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK) 4, no. 1 (2025): 24–39. https://doi.org/10.51317/eajk.v4i1.739.

Full text
Abstract:
Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza jinsi nyimbo pendwa za mwanamuziki Ken wa Maria zinavyoendeleza utaifa wa jamii ya Akamba. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuhakiki mbinu za kimtindo zinazotumika kujenga utaifa wa jamii ya Akamba katika nyimbo pendwa teule za Ken wa Maria. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Umitindo iliyoasisiwa na Leech pamoja na Short. Nadharia ya Umitindo huchunguza namna msanii wa fasihi hutumia lugha kwa namna ya kipekee ili kumwezesha kuwasilisha ujumbe wake kwa hadhira lengwa. Mihimili ya nadharia hii ndiyo iliyoelekeza utafiti huu wakati wa kukusanya, kuch
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
38

Nkumbo, Douglas, Dr Sheila Wandera-Simwa, and Prof James Onyango Ogola. "Uchambuzi wa Maudhui katika Matangazo ya Ngono-Salama kwenye Ukurasa wa Shabiki wa Durex Facebook." Editon Consortium Journal of Kiswahili 1, no. 1 (2019): 25–33. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v1i1.43.

Full text
Abstract:
Usomi huu ulinuia kuchanganua matangazo ya ngono salama katika mtandao wa Facebook wa Durex. Utafiti huu ulihusu mada ambazo ni mwiko katika jamii kwa kuangazia matangazo ya ngono salama. Madhumuni ya utafiti ni kubainisha na kuchanganua maudhui ambayo yanasisitizwa katika matangazo ya Durex katika mtandao wa Facebook, kudhihirisha uhalalishaji wa matangazo ya ngono salama ili kuwashawishi wateja wengi kununua na kutumia bidhaa zao. Utafiti huu ulitumia Nadharia ya Uchanganuzi Hakiki Usemi hasa kwa kuzingatia muundo wa Fairclough wa 3D na muundo wa Kress Van Leuuwan wa Isimu ya picha.Muundo wa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
39

Munyao, Josephine Kanini, Wendo Nabea, and Pamela Sheila Wandera. "Arki za Utaifa wa Jamii ya Akamba." East African Journal of Swahili Studies 8, no. 1 (2025): 117–34. https://doi.org/10.37284/jammk.8.1.2646.

Full text
Abstract:
Utaifa wa kijamii hujitokeza katika tanzu mbalimbali za sanaa. Wanadamu hutumia fasihi yao kuendeleza utaifa wa kijamii ili kuelezea asili yao, changamoto zinazowakabili, maadili ya kijamii, maono na ushindi wao. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza jinsi nyimbo pendwa za mwanamuziki Ken wa Maria zinavyoendeleza utaifa wa jamii ya Akamba. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza arki za utaifa wa jamii ya Akamba katika nyimbo pendwa teule za Ken wa Maria. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Utaifa iliyoasisiwa na David Smith. Nadharia ya Utaifa hueleza kwamba ili utaifa wa jamii uwep
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
40

Mwangi, Jackson Ndung’u. "Changamoto Zinazowakumba Vijana katika Tamthilia ya Kitumbua Kimeingia Mchanga." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 2 (2022): 69–77. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.2.959.

Full text
Abstract:
Katika ulimwengu wa sasa, kuna mabadiliko chungu nzima yanayoshuhudiwa duniani yanasababishwa na masuala anuwai kama vile maendeleo ya kiteknolojia pamoja na utandarithi yanayoathiri pakubwa maisha ya vijana. Nchini Kenya, vijana wana umuhimu wa kipekee kwani wanatekeleza majukumu muhimu sana katika kukuza uchumi wa nchi. Isitoshe, idadi ya vijana kote ulimwenguni imeendelea kuongezeka kila uchao na imepiku ile ya wazee. Kwa hivyo, ni nyema kujadili changamoto zinazowakabili na kupendekeza hatua za kukabiliana nazo. Lengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchanganua changamoto zinazowakumba vijana p
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
41

Rexha, Avni. "Zhvillimi institucional i arsimit shqip në Kosovë gjatë viteve 1945-1990." Kërkime Pedagogjike 3 (March 25, 2025): 11–30. https://doi.org/10.62928/kp.v3i.6009.

Full text
Abstract:
Format e mësimit në gjuhën shqipe në Kosovë janë të hershme dhe ato ishin zhvilluar në varësi të rrethanave politike. Nën sundimin e Perandorisë Osmane, mësimi joformal në gjuhën shqipe, krahas mësimit fetar, ishte zhvilluar në mejtepe, xhami, teqe e kisha. Duke filluar nga luftërat ballkanike dhe deri në fillim të Luftës së Dytë Botërore, kur Kosova ishte nën sundimin jugosllav, mësimi në gjuhën shqipe ishte i ndaluar. Gjatë Luftës së Dytë Botërore, fashizmi për interesa të ruajtjes së qetësisë në këto vise lejoi mësimin në gjuhën shqipe, proces që zgjati rreth tre vite. Si rezultat i këtyre
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
42

Hassan, Fabiola. "Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili." MULIKA 44, no. 1 (2025): 114–37. https://doi.org/10.56279/mulika.na44t1.7.

Full text
Abstract:
Nomino sahili ni maneno ambayo kimofolojia yameundwa na mofu huru moja. Pia, kisematiki, maneno haya yana maana zake katika kamusi. Licha ya kuwa na sifa hizi, uambikaji wa viambishi ngeli {m-/mu-, ji-, ma-, ki-, ka-, tu, na u-} katika nomino hizi unaathiri sifa tajwa. Makala haya yanafafanua athari za kimofolojia na za kisemantiki za uambikaji wa viambishi ngeli katika nomino hizi na maana ya athari hizo katika ufafanuzi wa sarufi ya Kiswahili. Data zilizotumika zilipatikana kwa njia ya ushuhudiaji shiriki, hojaji na usaili. Data hizo zilifafanuliwa kwa kutumia Nadharia ya Matumizi iliyoasisi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
43

Prof Nabea Wendo; Dkt Gwachi J. Mayaka, Makhakha Richard Iyaya;. "Mitindo na Lugha ya Uwasilishaji katika Nyimbo za Jando za Jamii ya Watachoni Kutoka Kenya." Editon Consortium Journal of Kiswahili 3, no. 1 (2021): 231–53. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v3i1.225.

Full text
Abstract:
Utafiti huu ulilenga kutathmini mitindo ya uwasilishaji na lugha inayojitokeza katika nyimbo za jando katika jamii ya watachoni wa kaunti ya bungoma. Nadharia ya baada ya umuundo ya Derrida (1966) ilitumika katika utafiti huu, nadharia hii ilitumika kwa mkamilishano na ya ubabe-dume ya Maclennes (1998). Utafiti huu ulilenga watahiriwa, wazazi, wanaume Watachoni, wanawake Watachoni na viongozi wa shughuli za jando ya Watachoni wanaotumia nyimbo za jando. Sampuli kusudio pamoja na nasibu tabakishi zilitumika. Jumla ya nyimbo 16 za nyimbo (nyiso na maghani) za jando zilitumika na watafitiwa 45 wa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
44

Imbuga, Amola Cynthia, Nabeta Sangili, and Malenya Mary. "Uchanganuzi wa Athari za Utamaduni Katika Tafsiri na Ukalimani wa Mahakama: Hali Halisi Kaunti ya Vihiga." East African Journal of Swahili Studies 7, no. 1 (2024): 455–66. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.7.1.2284.

Full text
Abstract:
Utafiti huu umechunguza namna utamaduni unavyoathiri ukalimani na tafsiri katika mahakama ya kaunti ya Vihiga, ikizingatiwa kuwa kaunti hii imesheheni wingi wa lugha na mbari mbalimbali za Waluhya, hivyo, kuwepo kwa hitaji la ukalimani na tafsiri katika uendeshaji wa kesi mbalimbali mahakamani. Lahaja za Kitiriki na Kimaragoli zina utamaduni wao katika masuala mbalimbali kama vile: ndoa, tohara, mavazi, chakula, mawasiliano, na kadhalika. Utafiti huu umejikita katika utamaduni unaohusiana na mawasiliano pekee. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Isimujamii iliyoasisiwa na William Labov (1972
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
45

Lehmedi, Ibrahim Elhadi Mohamed. "Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu." Journal of Human Sciences 21, no. 2 (2022): 44–50. http://dx.doi.org/10.51984/johs.v21i2.1783.

Full text
Abstract:
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza uundaji wa kauli ya kutendwa katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu, na mtafiti kutokana na ufundishaji wake wa kozi za sarufi kwa wanafunzi wanaojifunza lugha Kiswahili katika Idara ya lugha na Taaluma za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Sebha kwa muda mrefu, mtafiti aliona kuwa kuna wanafunzi wengi wanakumbana na matatizo mengi na ugumu wa kuelewa jinsi na kanuni za uundaji wa vitenzi katika lugha ya Kiswahili. Kwa kuwa mtafiti anaelekea kwenye dhana kwamba tofauti kati ya lugha hizo mbili katika jinsi na kanuni za uundaji wa kauli ya kuten
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
46

Wanjugu, Milkah, Joseph Nyehita Maitaria, and Peter Kinyanjui Mwangi. "Matumizi ya Kinaya Kubainishia Maudhui katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Riwaya ya Chozi la Heri na Tamthilia ya Kigogo." East African Journal of Swahili Studies 6, no. 1 (2023): 233–42. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.6.1.1303.

Full text
Abstract:
Mtunzi wa kazi ya kazi ya fasihi hususan riwaya na tamthilia, hutumia mbinu mahususi kuwasilishia matukio na mawazo yanavyoshuhudiwa katika jamii. Mbinu hizo huteuliwa na mtunzi kwa makusudi ili ujumbe unaokusudiwa kuwasilishwa na kueleweka kwa mwafaka na hadhira. Mbinu hizo ni zile zinazojibainisha katika kitengo cha tamathali za usemi. Katika utafiti huu, mbinu inayozingatiwa ni kinaya ambacho huwasilisha ujumbe kinyume na matarajio. Utafiti huu unatuonyesha matumizi ya kinaya katika riwaya ya Chozi la Heri (2017) ambayo imeandikwa na Matei na tamthilia ya Kigogo (2015) ambayo imeandikwa na
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
47

Mpemba, Titus. "Mawanda ya taaluma za ukalimani na tafsiri na haja ya kuboresha ufundishaji wake." Kioo cha Lugha 20, no. 1 (2023): 82–99. http://dx.doi.org/10.4314/kcl.v20i1.6.

Full text
Abstract:
Umuhimu wa ukalimani na tafsiri umeongezeka kutokana na utandawazi. Wakalimani na wafasiri wengi wamekuwa wakiandaliwa ili kuendana na kasi ya ongezeko la mahitaji ya wakalimani na wafasiri. Kutokana na kasi ya ongezeko hili, na uhaba au ukosefu wa walimu wabobevu wa ukalimani na tafsiri, walimu wa lugha ambao tafsiri na ukalimani si nyuga zao za ubobevu wamejikuta wakipewa majukumu ya kufundisha kozi za ukalimani na tafsiri vyuoni. Matokeo yake, walimu hao wamekuwa wakihangaika kufikiria mambo ya kufundisha. Kwa kuwa ukalimani na tafsiri si nyuga walizobobea, hujikuta wakifundisha juujuu. Wah
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
48

Mburu, Reuben, Boniface Ngugi, and Hamisi O. Babusa. "Mbinu Zinazozingatiwa katika Kutumikiza Filamu Kufunzia Sarufi ili Kuimarisha Matokeo ya Mtihani wa Kiswahili katika Shule za upili, Nchini Kenya." East African Journal of Swahili Studies 8, no. 1 (2025): 239–49. https://doi.org/10.37284/jammk.8.1.2827.

Full text
Abstract:
Makala haya yalinuia kutafitia mbinu zilizotumikizwa na walimu katika kutumikiza filamu kufunzia Kiswahili sarufi kwa wanafunzi wa shule za upili. Ni jukumu la walimu kubuni mazingira halisi yanayowawezesha wanafunzi kujifunza sarufi kwa njia inayoweza kuimarisha utendaji wao. Ni kauli iliyopelekea makala haya kuchunguza mbinu ambazo walimu walizingatia katika kutumia filamu darasani kufunzia lugha. Utafiti huu ulijikita katika eneo gatuzi la Nyeri, gatuzi ndogo la Mukurweini lililo na shule za upili thelathini na nne. Sampuli za utafiti zilikuwa ni wanafunzi wa kidato cha tatu katika shule zi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
49

Bastari, Ahmad. "Pesan-Pesan Al-Qur’an untuk Ulul Albab: Studi Tematik dengan Pendekatan <i>Munasabah</i>." Jurnal Semiotika-Q: Kajian Ilmu al-Quran dan Tafsir 4, no. 2 (2024): 589–606. https://doi.org/10.19109/jsq.v4i2.24480.

Full text
Abstract:
Artikel ini bertujuan untuk mengetahui pesan-pesan al-Qur’an untuk Ulul Albab dengan mengacu pada ayat-ayat al-Qur’an tentang Ulul Albab yang disebutkan sebanyak 16 kali. Penelitian ini melakukan kajian dengan menggunakan metode kualitatif, jenis penelitian kepustakaan dan teknik anlisis data berupa deskriptif-analitis. Dengan menelaah ayat-ayat Ulul Albab dengan metode tematik dan pendekatan munasabah, hasil penelitian menunjukkan bahwa Ulul Albab merupakan sosok yang memiliki wawasan yang luas dan tajam dalam menganalisis setiap masalah serta tidak menutup diri dari semua masukan yang datang
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
50

Obondo, Peres Akello, Juliet Akinyi Jagero, and Naomi Nzilani Musembi. "Utu wa Wahusika Viumbe wa Kiuhalisiajabu: Mtazamo wa Mwandishi Said Ahmed Mohamed." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 2 (2022): 131–41. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.2.1014.

Full text
Abstract:
Utu ni sifa mojawapo muhimu katika mahusiano mazuri maishani mwa binadamu. Utu huhusisha wema. Utu ni sifa ambayo huhusishwa na wahusika mbalimbali katika dunia halisi na hata kwenye dunia ya fasihi. Wahusika ni muhimu katika fasihi kwa vile kupitia kwao, mwandishi huweza kupitisha ujumbe aliokusudia kwa wasomaji. Wahusika huwa wa aina mbalimbali wakiwemo wahusika wa kiuhalisiajabu ambao pia huchangia katika kupitisha ujumbe wa mwandishi sawia na wahusika wa kihalisia. Tafiti za awali zimewasawiri wahusika binadamu wakionyesha utu kwa sababu ni sifa muhimu anayopaswa kuwa nayo binadamu. Hata h
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
We offer discounts on all premium plans for authors whose works are included in thematic literature selections. Contact us to get a unique promo code!