Academic literature on the topic 'Maudhui makuu'

Create a spot-on reference in APA, MLA, Chicago, Harvard, and other styles

Select a source type:

Consult the lists of relevant articles, books, theses, conference reports, and other scholarly sources on the topic 'Maudhui makuu.'

Next to every source in the list of references, there is an 'Add to bibliography' button. Press on it, and we will generate automatically the bibliographic reference to the chosen work in the citation style you need: APA, MLA, Harvard, Chicago, Vancouver, etc.

You can also download the full text of the academic publication as pdf and read online its abstract whenever available in the metadata.

Journal articles on the topic "Maudhui makuu"

1

Judith, Oroko Kerubo, and Jesse Joseph Muriithi. "Usawiri wa Mandhari katika Nyimbo Teule za Jadi za Jamii ya Abagusii." East African Journal of Swahili Studies 8, no. 1 (2025): 339–47. https://doi.org/10.37284/jammk.8.1.3020.

Full text
Abstract:
Mandhari ni kipengele muhimu sana katika kazi yoyote ile ya fasihi na nyimbo hazijasazwa. Madhumuni makuu ya makala haya ni kueleza kuhusu usawiri wa mandhari katika nyimbo teule za jadi za jamii ya Abagusii. Yaani kuonyesha maudhui yaliyojengwa kupitia kwa nyimbo teule, kudhirisha mila na desturi ambazo zinaangaziwa kupitia kwa nyimbo hizo na hata kuonyesha uhusiano kati ya jamii na mazingira anamoishi. Mandhari ambamo nyimbo hizi zilikuwa zimejikita yalikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha uwasilishaji wa nyimbo husika. Katika kazi yoyote ya fasihi, mandhari yana nafasi muhimu sana. Kwa
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
2

Abu Azuom, Jalhgam. "Baadhi ya Mbinu za Kifani katika Riwaya ya Kiswahili "Riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman kama mfano"." Journal of Human Sciences 22, no. 1 (2023): 82–86. http://dx.doi.org/10.51984/johs.v22i1.2521.

Full text
Abstract:
Kazi ya fasihi ikiwemo riwaya huundwa na fani na maudhui, ambavyo kwa pamoja ndivyo hutupatia kazi inayoitwa fasihi. Fani huundwa na vipengele kama vile wahusika, mtindo, mandhari, muundo na matumizi ya lugha. Vipengele hivi hutumiwa na waandishi kwa namna tofauti tofauti kulingana na ujuzi na welei wao. Kwa upande wa maudhui ni jumla ya mawazo makuu yanayoelezwa na mwandishi au msimulizi wa kazi ya fasihi na kutaka hadhira yake ipate . kazi huu ulikusudiwa kufanywa kwa nia ya kuchunguza dhamira mbalimbali ambazo zinawasilishwa na Mohamed Suleiman katika riwaya yake ya Kiu. Kupita riwaya hii t
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
3

Njeru, Mary K., John M. Kobia, and Dorcas M. Musyimi. "Usawiri wa Motifu za Kimazingira Katika Tamthilia ya Kiswahili: Tathmini ya Majira ya Utasa (Arege, 2015)." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (2022): 151–60. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.699.

Full text
Abstract:
Suala la kuongezeka kwa viwango vya halijoto na mabadiliko ya tabianchi limeibua mijadala ya kitaifa na kimataifa. Kwa msingi huu, kazi mbalimbali za kifasihi zimebuniwa kwa kuangazia uharibifu wa mazingira asilia na athari zake na mwito wa kuhifadhi mazingira. Makala hii ilikusudia kuchunguza jinsi motifu za kimazingira zilivyosawiriwa katika tamthilia ya Majira ya Utasa (Arege, 2015). Msisitizo ulikuwa kuangazia jinsi mwandishi wa tamthilia teule amesawiri motifu za kimazingira ili kuonyesha uharibifu wa mazingira pamoja na matatizo yanayotokana na uharibifu huo. Hii ni kwa sababu fasihi huw
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
4

Mwangi, Jackson Ndung’u, Prof Wendo Nabea, and Dr Sheila Wandera-Simwa. "Ulinganishi wa Matatizo Ya Kijamii Yanayowakumba Majagina Katika Tendi Za Mikidadi Na Mayasa Na Kalevala." Editon Consortium Journal of Kiswahili 1, no. 1 (2019): 14–21. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v1i1.41.

Full text
Abstract:
Uwepo wa tendi katika maeneo ya Afrika umezua mjadala na mgogoro mkali mno katika jamii ya usomi. Hii ni kutokana na rai kuwa wasomi na watafiti wengi kutoka maeneo ya Kimagharibi walidai kuwa Afrika hakuna tendi ila kinachodaiwa kuitwa tendi ni masimulizi ya kisifo tu. Wahakiki wengine wamezifutilia mbali tendi hizi kwa kudai kuwa maudhui yake ni ya kichawi na sihiri. Pia, vigezo vya kuainisha tendi vilivyotumiwa na wanazuo wa Kimagharibi vilikuwa vya kimaeneo na kimakusudi, walidhalilisha tendi za Kiafrika. Licha ya kuwa kuliibuka watafiti wa Kiafrika na kudai kuwa Afrika kuna tendi, wao pia
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
5

Njeru, Beatrice Nyambura, John Kobia, and Allan Mugambi. "Wahusika na Motifu ya Siri katika Nathari Teule za Fasihi za Kiswahili." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (2022): 234–49. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.782.

Full text
Abstract:
Wahusika ni viumbe muhimu katika ujenzi wa kazi ya fasihi. Mhusika ni mtendaji katika kazi ya kifasihi na huwa ni kielelezo cha viumbe wanaopatikana ulimwenguni ingawa si lazima sifa zote za mhusika zifungamane na za binadamu. Ni picha ambayo huchorwa na fasihi na ni kiini cha vitu vipya, dhamira na mada katika fasihi. Kwa hivyo, wahusika si watu halisi bali ni watu wa kubuni. Mwandishi huchora viumbe anaowatwika majukumu ya kutenda na kusema kama binadamu na kupitia kwao huwasilisha dhamira yake. Dhamira hii hukuzwa na kuwepo kwa masuala makuu ambayo huwasilishwa kwa hadhira lengwa na kufanik
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
6

Muthui, Evelyn Kakivi, and Njoki Chomba. Esther. "UTATHIMINI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA ZILIZOTEULIWA KUTAHINIWA KATIKA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA: MSTAHIKI MEYA (2009) NA KIGOGO (2016)." November 2, 2018. https://doi.org/10.5281/zenodo.2353138.

Full text
Abstract:
Utafiti huu unalenga kutathmini uhalisia wa maudhui katika tamthilia zilizoteuliwa kitahiniwa katika shule za upili hususan tamthilia ya mstahiki meya (Arege, T. 2009) na Kigogo (Kea, P. 2016). Katika kuzisoma tamthilia hizi na kuzitathmini tamthilia hizi, ni kweli kuwa tamthilia hizi zina ukaribiano wa kimaudhui lakini je kazi hizi za tamthilia zilihahakisi uhalisia wa mambo katika jamii kipindi ambacho ziliteuliwa kutahiniwa? Hata hivyo mtafiti alijiuliza kuwa je, ni kigezo kipi kinatumiwa kuteuwa tamthilia hizi kuwa za kutahiniwa katika kipindi Fulani ilhali zafanana kimaudhui? Je ni hali h
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
7

Mwangi, Jackson Ndung’u, Prof Wendo Nabea, and Dkt Sheila Wandera. "Ulinganishi wa Matatizo Ya Kijamii Yanayowakumba Majagina Katika Tendi Za Mikidadi Na Mayasa Na Kalevala." Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK) 1, no. 1 (2022). http://dx.doi.org/10.51317/eajk.v1i1.93.

Full text
Abstract:

 
 Uwepo wa tendi katika maeneo ya Afrika umezua mjadala na mgogoro mkali mno katika jamii ya usomi. Hii ni kutokana na rai kuwa wasomi na watafiti wengi kutoka maeneo ya Kimagharibi walidai kuwa Afrika hakuna tendi ila kinachodaiwa kuitwa tendi ni masimulizi ya kisifo tu. Wahakiki wengine wamezifutilia mbali tendi hizi kwa kudai kuwa maudhui yake ni ya kichawi na sihiri. Pia, vigezo vya kuainisha tendi vilivyotumiwa na wanazuwa Kimagharibi vilikuwa vya kimaeneo na kimakusudi, walidhalilisha tendi za Kiafrika. Licha ya kuwa kuliibuka watafiti wa Kiafrika na kudai kuwa Afrika kuna te
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
We offer discounts on all premium plans for authors whose works are included in thematic literature selections. Contact us to get a unique promo code!