To see the other types of publications on this topic, follow the link: WA.

Journal articles on the topic 'WA'

Create a spot-on reference in APA, MLA, Chicago, Harvard, and other styles

Select a source type:

Consult the top 50 journal articles for your research on the topic 'WA.'

Next to every source in the list of references, there is an 'Add to bibliography' button. Press on it, and we will generate automatically the bibliographic reference to the chosen work in the citation style you need: APA, MLA, Harvard, Chicago, Vancouver, etc.

You can also download the full text of the academic publication as pdf and read online its abstract whenever available in the metadata.

Browse journal articles on a wide variety of disciplines and organise your bibliography correctly.

1

Carr, M. "Wa Wa Lexicography." International Journal of Lexicography 5, no. 1 (March 1, 1992): 1–31. http://dx.doi.org/10.1093/ijl/5.1.1.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
2

Khoirurrijal, Khoirurrijal, and Erlina Erlina. "Maharah al-Kalam al-‘Arabiy wa Mukawwanatuha wa Ahdafuha wa Taqwimuha." International Journal of Arabic Language Teaching 1, no. 01 (September 6, 2019): 30. http://dx.doi.org/10.32332/ijalt.v1i01.1605.

Full text
Abstract:
The speaking ability is the important skill of Arabic teaching. The ability of Arabic speech is the skill to perform the voice and expressing something meaningful in the mind of the speaker. This research aims to find out the component, the purpose, and the evaluation of Arabic speech. This is library research. This research found that the components of Arabic speech are pronunciation, vocabulary and grammar. The purpose of Arabic speech skills is the students are able to speak fluently and correctly and performing vocabularies that they learn and including the meanings that can send information to others in the social situation. Evaluation of Arabic speech skills is insist of the integrity of the vocabulary with pronunciation on the condition of the right situation, the validity of using vocabulary that acceptable in the tongue of the Arabs, and the validity of using Arabic stylistics that Arabian used.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
3

Mohochi, Ernest Sangai. "Mchango wa Waandishi wa Kazi za Kubuni katika Uendelezaji wa Kiswahili." Eastern African Literary and Cultural Studies 5, no. 3-4 (October 2, 2019): 223–38. http://dx.doi.org/10.1080/23277408.2018.1529851.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
4

Obondo, Peres Akello, Juliet Akinyi Jagero, and Naomi Nzilani Musembi. "Utu wa Wahusika Viumbe wa Kiuhalisiajabu: Mtazamo wa Mwandishi Said Ahmed Mohamed." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 2 (December 17, 2022): 131–41. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.2.1014.

Full text
Abstract:
Utu ni sifa mojawapo muhimu katika mahusiano mazuri maishani mwa binadamu. Utu huhusisha wema. Utu ni sifa ambayo huhusishwa na wahusika mbalimbali katika dunia halisi na hata kwenye dunia ya fasihi. Wahusika ni muhimu katika fasihi kwa vile kupitia kwao, mwandishi huweza kupitisha ujumbe aliokusudia kwa wasomaji. Wahusika huwa wa aina mbalimbali wakiwemo wahusika wa kiuhalisiajabu ambao pia huchangia katika kupitisha ujumbe wa mwandishi sawia na wahusika wa kihalisia. Tafiti za awali zimewasawiri wahusika binadamu wakionyesha utu kwa sababu ni sifa muhimu anayopaswa kuwa nayo binadamu. Hata hivyo, waandishi wa Kiswahili akiwemo Said A. Mohamed wamesawiri wahusika wa kiuhalisiajabu wakionyesha utu kwa viumbe wengine. Huu ni mtindo ambao umeanza kutumiwa katika riwaya mpya na waandishi wa fasihi ya Kiswahili. Hivyo basi, utafiti huu ulichanganua kiuhakikifu wahusika viumbe wa kiuhalisiajabu katika riwaya teule za Said A. Mohamed ili kudhihirisha kwamba hata viumbe wasio binadamu huwa na sifa ya kibinadamu ya utu. Lengo mahususi lililoongoza utafiti huu lilikuwa kufafanua jinsi viumbe wa kiuhalisiajabu wanavyodhihirisha utu katika riwaya za Said A. Mohamed. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya kiuhalisiajabu kama inavyofafanuliwa na Zamora na Wendy (1995). Nadharia hii hueleza matukio katika hali ya kutisha, kushangaza na kuogofya kwa kuziwasilisha kana kwamba ni hali ya kawaida. Eneo la utafiti likiwa fasihi ya Kiswahili, utanzu wa Riwaya. Sampuli ya kimakusudi ilitumika kuteua riwaya tatu za Said A. Mohamed hususan: Babu Alipofufuka (2001), Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Data ilikusanywa kutokana na kusoma riwaya hizo tatu zilizoteuliwa na kudondoa sehemu zinazolingana na lengo la utafiti. Data ilidondolewa, ikanukuliwa, ikapangwa kisha kuchanganuliwa. Matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa kwa kweli viumbe wa kiuhalisiajabu wana sifa za utu kama upendo, ukarimu, kusamehe miongoni mwa mengine.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
5

Yurisa, Penny Respati. "Maharah al-Qiraati wa Ta'limuha wa Muasyiratuha." International Journal of Arabic Language Teaching 1, no. 01 (September 2, 2019): 42. http://dx.doi.org/10.32332/ijalt.v1i01.1596.

Full text
Abstract:
Reading is a verbal linguistic skill, which includes the identification and understanding of printed symbols, and it is a complex process similar to all processes, requiring understanding, linking, and conclusion by communicating with readers. This article has four goals; to find the goals of reading education, to explain the two types of reading, to determine the assessment of reading skill, and to find the steps of teaching reading skills. This article used library research, the data in the form of literature and analysed without using statistical techniques. First, one of the goals of reading education is the ability of students to find new ideas and knowledge. Second, that there are two types of reading. The first type is silent reading, and the second type is aloud reading. Third, assessment of reading skill in a general characteristic consists of two aspects, namely pronunciation and comprehension. Fourth, the teaching of reading skills has the following steps: Providing readable texts for students to read in secret or in public, appropriate for the available study times. Dialog about the content of the read. When the teacher wanted to explain the rules, the teacher does the shortest explanation, because the focus in teaching reading is to provide read texts, and read them secretly or publicly. The teacher provides an explanation of difficult vocabulary, or problem terms in students. At the end of the meeting, the teacher gives assignments about the content of the reading, such as summarizing the material, assigning the subject, or other assignments.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
6

Wandera-Simwa, Sheila Pamela. "Mwanamke wa Kiswahili katika Utenzi wa Mwanakupona." East African Journal of Swahili Studies 4, no. 1 (September 22, 2022): 82–98. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.4.1.422.

Full text
Abstract:
Makala hii inahakiki taswira ya mwanamke wa Kiswahili katika Utenzi wa Mwanakupona kwa kuzingatia utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, ambao ndio wakati uliotungwa utenzi huu. Picha ya mwanamke huyu imehakikiwa kwa namna ambavyo inamulika mwanamke wa Kiswahili wa karne hiyo. Pamoja na kuusoma Utenzi wa Mwanakupona, tutahakiki kuhusu utenzi huu, na maandishi kuhusu utamaduni wa Waswahili wa karne ya kumi na tisa, mtafiti aliwahoji Waswahili watajika, wake kwa waume, kuhusu mwanamke katika utamaduni wa Waswahili. Pia, aliwasaili washairi wasifika na wanawake wa Kiswahili kuhusu uelewa wao wa utenzi huu. Yote haya kwa pamoja yalitoa mwanga kuhusu nafasi ya mwanamke katika utenzi huu maarufu. Nadharia ya uhalisia ilitumikizwa katika uhakiki huu na ilibainika kuwa mwanamke katika Utenzi wa Mwanakupona ni picha halisi ya mwanamke wa tabaka la juu, wa karne ya kumi na tisa.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
7

Muyumba, Jotham, and David Kihara. "Muundo wa Kifonolojia wa Maneno ya Sheng’." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (October 5, 2022): 373–87. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.872.

Full text
Abstract:
Utafiti huu ulidhamiria kutathmini athari za kamusi ya Sheng’ – English Dictionary kwa Kiswahili sanifu. Kamusi ya Sheng’ – English Dictionary (2003) iliteuliwa kama msingi wa uchunguzi huu kwa sababu ndio kamusi ya kwanza ya Sheng’ kuwahi kuchapishwa. Licha ya kamusi hii kuchapishwa katika lugha ya Kiingereza ina leksimu za Sheng’ ambazo yafaa kuchunguzwa namna zinavyoathiri Kiswahili sanifu. Lengo la utafiti huu lilikuwa kueleza muundo wa kifonolojia wa maneno ya Sheng’ na jinsi yanavyotofautiana na Kiswahili sanifu. Nadharia ya utafiti ilikuwa Nadharia ya Fonolojia Boreshi ambayo inapatikana katika mtazamo mpana wa Nadharia Boreshi iliyoasisiwa na Alan Prince na Paul Smolensky (2003). Hii ni nadharia inayochunguza hatua za ukuaji wa msamiati kutoka hali ghafi hadi ukubalifu wake kupitia kwa vizuizi tofauti. Mahali pa utafiti palikuwa maktabani na mtandaoni. Mbinu ya uchunguzi ikawa kupitia kusikiliza na kusoma makala mbalimbali kuhusu mada hii. Data ilikusanywa kupitia kwa kuchunguza maneno na vidahizo vya maneno kutoka kamusi ya Sheng’ – English Dictionary (2003). Iliaminika kuwa kamusi hii ingetupa sampuli ya maneno mahsusi ya Sheng’ ambayo muundo wake huathiri matumizi katika Kiswahili sanifu kwenye jamii ya kisasa. Uchanganuzi wa maelezo ulitegemea mtazamo wa Fonolojia Boreshi katika nadharia ya fonolojia inayoangazia sarufi zalishi. Katika mtazamo huu, uambishaji wa maneno uliangaziwa na jinsi uundaji huo hutawaliwa na vizuizi mbalimbali na sheria za fonolojia. Uwasilishaji wa data ulikuwa kupitia kwa maelezo ya kina, michoro na jedwali. Uchunguzi huu ulidhamiria kuchangia usomi wa Kiswahili kwa kuweka wazi athari za Sheng’ katika ukuaji wa lugha ya Kiswahili kimsamiati. Kadhalika, utafiti huu utawasaidia wanafunzi kuweka mipaka bayana kati ya msimbo wa Sheng’ na lugha ya Kiswahili sanifu
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
8

Gilliot, Claude, and Abdel-Magid Turki. "Kitab al-Gami' fi s-sunan wa l-adab wa l-hikam wa l-magazi wa gayr dalika." Studia Islamica, no. 75 (1992): 190. http://dx.doi.org/10.2307/1595631.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
9

Abu-Alhaj, Thabet Ahmad. "Al-Ijāzāt wa al-Asānīd wa Dawruhā fī Ḍabṭ al-Qirā’āt wa Itqānuhā wa Ḥifẓ al-Qur’ān al-Karīm." Journal of Usuluddin 46, no. 2 (December 31, 2018): 203–20. http://dx.doi.org/10.22452/usuluddin.vol46no2.8.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
10

James McKean. "PHYST, WA." Antioch Review 71, no. 2 (2013): 280. http://dx.doi.org/10.7723/antiochreview.71.2.0280.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
11

Magalhães, João Paulo, and Luis Moura Silva. "SHõ WA." ACM Transactions on Autonomous and Adaptive Systems 10, no. 1 (March 25, 2015): 1–28. http://dx.doi.org/10.1145/2700325.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
12

Huda, Nurul. "KHASHAISH KHATH AL TSULUTS WA MUMAYYIZATUHU WA ASRARUHU." ALSINATUNA 1, no. 2 (March 7, 2017): 162. http://dx.doi.org/10.28918/alsinatuna.v1i2.794.

Full text
Abstract:
Arabic calligraphy has been recognized by Indonesian society, especially in learning Arabic texts, such as Qur’an and Hadith. Nowadays, it is not even used in a manuscript only, but also used as home and mosque decoration. There are many kinds of calligraphy letterform; one of them is called “S\ulus\” (khat S\ulus\). S\ulus\ is the most used letterform both in calligraphy books and decoration. It may caused by the flexibility of its letterform and its elasticity of the structure that makes it looks charismatic. In this research, there is a new model of calligraphy which does not only depend on the history, but also relates to the secret or the meaning contained in the forming of S\ulus\. In addition, there is also a description of a more comprehensive calligraphy style which makes the idiosyncrasies of S\ulus\ are revealed in the forming of a calligraphy style.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
13

Wandera-Simwa, Sheila; Onyango J. Ogola, John Swala Barasa Wangila;. "Uainishaji wa Mafumbo ya Wosia wa Babu kwa Wavulana Miongoni mwa Wabukusu wa Kenya." Editon Consortium Journal of Kiswahili 3, no. 1 (March 20, 2021): 223–30. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v3i1.206.

Full text
Abstract:
Utafiti huu ulidhamiria kuainishaji mafumbo ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya. Madhumuni ya makala hii yalikuwa kuainisha mafumbo yanayotumiwa katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya. Uandishi wa makala hii ulitumia nadharia ya umitindo iliyoasisiwa na Leech (1965). Nadharia hii huhimiza umuhimu wa mitindo tofauti ya lugha katika fasihi. Data za Makala zilikusanywa kutoka kata mbili za wilaya ya Kimilili. Muundo wa kimaelezo ulitumika kuwasilisha na kuchanganua data. Mbinu za mahojiano na uchunzaji wa kushiriki zilitumika kukusanya data. Sampuli ya kimaksudi ilitumiwa kuwachagua wazee wanne wa kati ya miaka sitini na sabini na wavulana wanne wa kati ya miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili kutoka kata zizo hizo ili kushiriki katika utafiti. Utafiti ulibainisha kuwa babu hutumia mafumbo ya vitendawili, mafumbo ya jazanda, mafumbo ya majina, mafumbo ya maonyo, mafumbo ya miko na chemshabongo katika wosia wao kwa wavulana. Makala hii ina manufaa kwa wanafunzi na wataalamu wa fasihi simulizi, shuleni na vyuoni, kwa kuwafahamisha kuhusu aina ya mafumbo yanayotumika katika jamii ya Wabukusu na jamii zingine. Makala hii inapendekeza kuwa vyombo vya habari viwe vikupeperusha hotuba za wosia unaotumia mafumbo kwa wananchi ili kuwafikia watu wengi. Kwa kufanya hivi, wavulana wengi watapata ujumbe uliomo kwenye mafumbo haya na wataimarika kitabia.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
14

Nasution, Sahkholid. "TATHBIQ TIKNULUJIYA TA’LIM AL LUGHAH AL ARABIYYAH MAFHUMUHA WA WADHAIFUHA WA AHDAFUHA WA MABADIUHA." ALSINATUNA 3, no. 1 (February 13, 2018): 1. http://dx.doi.org/10.28918/alsinatuna.v3i1.1135.

Full text
Abstract:
Arabic learning-like learning of other disciplines-requires technology as a systemic effort in designing, developing, implementing and evaluating the whole learning process. Through the application of tekonologi in learning Arabic is expected to be able to answer most of the problems experienced by teachers and students in learning Arabic, because technological learning techniques can help teachers in delivering materials and learners can also absorb the Arabic learning materials to the fullest. This paper is conceptual thinking using a descriptive-analysis method. The conclusion of this study is the application of technology in learning Arabic is an attempt to overcome the problematics of learning Arabic language. Because learning technology mengguanakan some principles, namely systemic approach (al madkhal al nizhamiy), student-oriented, and the use of learning resources to the fullest.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
15

Yarza de los Ríos, Alexander. "Aidaiza y baa wa wa/jai wa wa: relatos, visiones y entramados sobre “discapacidad” desde dos mundos indígenas en Colombia." Nómadas, no. 52 (September 15, 2020): 81–95. http://dx.doi.org/10.30578/nomadas.n52a5.

Full text
Abstract:
El presente artículo describe algunas interconexiones o entramados dinámicos en dos mundos indígenas en Colombia, el Murui Muina-Minika (Amazonas) y el Êbêra Eyábida (Antioquia), desde algunos de sus relatos de origen y sus conceptos en lengua ancestral sobre “discapacidad” (aidaiza y baa wa wa/jai wa wa, respectivamente)., respectivamente). El texto explora algunas singularidades en cada mundo desde las visiones antropoecogénica y teoecogénica, que se diferencian de los paradigmas de la matriz moderno/colonial en torno a la “discapacidad” e interfieren con éstos.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
16

Ogutu, Harrison Onyango. "Propaganda Kama Mkakati wa Kuhimili Hejemonia: Mfano wa Dharau ya Ini, Msimu wa Vipepeo, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (May 30, 2022): 142–50. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.686.

Full text
Abstract:
Makala hii imechunguza suala la propaganda kama mkakati wa kuhimili hejemonia katika riwaya teule za Kiswahili. Mtafiti amejadili namna propaganda inatumiwa kudumisha na kuimarisha utawala wa viongozi mintarafu ya riwaya teule. Ili kutimiza lengo lake, mtafiti amehakiki riwaya nne: Msimu wa Vipepeo, Dharau ya Ini, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi. Nadharia ya hejemonia inayoweka wazi suala la utawala wa mabwanyenye juu ya raia na kueleza udumishaji wa uwezo na mamlaka juu ya watawaliwa ni mwafaka katika utafiti huu. Mintarafu ya nadharia hii, hejemonia huendelezwa na kudumishwa sio tu kwa ushurutishaji bali pia kupitia maafikiano, lugha, wataalamu, siasa, maagizo, burudani, ujumbe na nyenzo nyingine za kielimu. Riwaya teule ziliteuliwa kimakusudi kwa kudhamiria kuwa zimesheheni masuala ya uhimili wa hejemonia. Kutokana na riwaya hizo, mtafiti alipata mitazamo mipana na tofauti ya propaganda kwa mujibu wa nguzo za nadharia na madhumuni ya utafiti. Utafiti huu ni wa maktabani ambako usomi mpana na wa kina wa riwaya teule, vitabu vya ziada, majarida na tasnifu mbalimbali ulitekelezwa. Utaratibu wa upekuzi wa yaliyomo ulitumika kukusanya data huku mbinu ya kiuthamano ikitumika kuchanganua data hiyo. Muundo wa kimaelezi ulitumika kuchanganua data na kueleza matukio kwa uyakinifu. Utafiti umeonesha kuwa propaganda ni mkakati muhimu unaotumiwa na watu wenye uwezo na mamlaka kudumisha na kuhimili hejemonia katika jamii. Matokeo ya utafiti yanatoa maarifa zaidi kuhusu matumizi ya propaganda kama mkakati wa kuhimili hejemonia katika fasihi. Aidha, matokeo haya ni marejeleo muhimu kwa wahakiki na watafiti hususan wale wanaotafitia masuala ya hejemonia katika fasihi
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
17

Nkumbo, Douglas, Dr Sheila Wandera-Simwa, and Prof James Onyango Ogola. "Uchambuzi wa Maudhui katika Matangazo ya Ngono-Salama kwenye Ukurasa wa Shabiki wa Durex Facebook." Editon Consortium Journal of Kiswahili 1, no. 1 (August 10, 2019): 25–33. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v1i1.43.

Full text
Abstract:
Usomi huu ulinuia kuchanganua matangazo ya ngono salama katika mtandao wa Facebook wa Durex. Utafiti huu ulihusu mada ambazo ni mwiko katika jamii kwa kuangazia matangazo ya ngono salama. Madhumuni ya utafiti ni kubainisha na kuchanganua maudhui ambayo yanasisitizwa katika matangazo ya Durex katika mtandao wa Facebook, kudhihirisha uhalalishaji wa matangazo ya ngono salama ili kuwashawishi wateja wengi kununua na kutumia bidhaa zao. Utafiti huu ulitumia Nadharia ya Uchanganuzi Hakiki Usemi hasa kwa kuzingatia muundo wa Fairclough wa 3D na muundo wa Kress Van Leuuwan wa Isimu ya picha.Muundo wa utafiti huu ni wa kiuthamano na kimaelezo. Data ilikusanywa kwa kutazama na kusakura matangazo ya Durex katika mtandao wa Durex. Sampuli ya data ilifanywa kimakusudi kisha ilihifadhiwa kieletroniki ili kuafikia malengo ya utafiti huu, ambapo matini za picha mia moja hamsini (150) zilichaguliwa na kuchanganuliwa. Matokeo ya Utafiti huu yanadhirisha kwamba maudhui yanayosisitizwa ni hisi za raha bila kuweka wazi ashiki za ngono, durex wanatumia mbinu ya uhalalishaji wa matangazo yao ili kushawishi wateja. Utafiti huu utawafaa wasomi wa isimujamii hasa katika mawasiliano ya afya. Pia usomii huu utasaidia kuziba pengo la changamoto ya kimawasiliano ya mada ambazo ni mwiko kwa wanaondaa matangazo ya ngono salama katika jamii ili matangazo ya ngono salama yaandiliwe ambayo yanakukubalika na jamii nyingi. Hatimaye matokeo ya utafiti yatasaidia wanaoandaa mitalaa ya elimu ili kuhusisha na kuhamasisha umma kuhusu elimu ya ngono salama kwa kutumia mitandao ya kijamii.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
18

Mutembei, Aldin. "Lugha ya Kiswahili na Ukombozi wa Kifikra katika Afrika: Mkabala wa Kimapinduzi wa Frantz Fanon." Utafiti 16, no. 2 (October 29, 2021): 184–202. http://dx.doi.org/10.1163/26836408-15020047.

Full text
Abstract:
Ikisiri Uchaguzi wa mtu kuitumia lugha yake kama njia ya ukombozi huanza na uamuzi wa kifikra. Uamuzi huo wa kifikra ni hatua ya ukombozi. Ni uamuzi ambao hatimaye humpa mtumiaji wa lugha mamlaka ya kuchukua hatua zaidi za kujitegemea. Ni ukombozi wa kiisimu ambao, hatimaye humpatia mtumiaji wa lugha nguvu binafsi. Lugha ni mamlaka; na wakati mwingi mamlaka huzaa nguvu. Ingawa hapa ‘nguvu’ inamaanisha uwezo wa mtu binafsi; na ‘mamlaka’ ni dhana ya kisheria, lakini dhana hizi mbili zinahusiana katika uchambuzi huu wa kujenga uwezeshaji kupitia matumizi ya lugha. Katika kuchunguza mawazo ya Frantz Fanon kuhusu dhana ya ukombozi wa fikra kwa Waafrika kama inavyojitokeza kupitia Lugha ya Kiswahili, nadharia ya Bobby Wright ya fikraufu inatoa nafasi kuangalia namna utambulisho wa watu unavyoweza kubomolewa kupitia matumizi ya lugha isiyokuwa ya asili kwao.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
19

Wataka, Nabangi Joan, Susan C. Choge, and Luganda Musavi Manasseh. "Tathmini Linganishi kati ya Mtalaa wa 8.4.4 na wa Umilisi wa 2.6.6.3 katika Ufundishaji wa Fonimu za Kiswahili katika Kiwango cha Chekechea." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (January 8, 2021): 1–9. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.3.1.267.

Full text
Abstract:
Mtalaa ni mpangilio ambao huweka malengo katika ufunzaji wa wanafunzi. Unatumika kama mwongozo kwa walimu ambao huweka viwango vya matokeo ya mwanafunzi sawia na uwajibikaji wa mwalimu. Nchi ya Kenya imeshuhudia mabadiliko ya mitalaa mbalimbali tangu ilipojinyakulia uhuru. Nafasi ya mtalaa wa uhuru wa 7.4.2.3 ilichukuliwa na 8.4.4 mwaka wa 1985 ambao nafasi yake kwa sasa inachukuliwa na mtalaa mpya wa umilisi wa 2.6.6.3 ambao ulianzishwa mwaka wa 2017. Mitalaa hii imefafanua vipengele mbalimbali kwa kutumia mbinu mbalimbali za ufundishaji na ufunzaji. Kwa hivyo, lengo la nakala hii ni kutathmini kiulinganishi ufundishaji wa fonimu za Kiswahili katika kiwango cha chekechea katika mtalaa wa 8.4.4 unaoondolewa, na katika mtalaa mpya wa umilisi wa 2.6.6.3. Mtalaa wa 7.4.2.3 na wa 8.4.4 iliegemea sana uwezo wa mwalimu, yeye ndiye aliyechukua jukumu kubwa katika mchakato wa ufundishaji kuliko wanafunzi. Tofauti na mitalaa hiyo miwili, mtalaa wa 2.6.6.3 unampa mwanafunzi jukumu kubwa katika mchakato wa ujifunzaji kuliko mwalimu. Makala haya pia yamechunguza kiulinganishi ubora na udhaifu wa mbinu mbalimbali za ufundishaji wa fonimu za Kiswahili katika kiwango cha chekechea katika mitalaa ya 8.4.4 na mpya wa 2.6.6.3. Nadharia ya Piaget ya Utambuzi imeongoza makala haya. Makala haya yanaripoti baadhi ya matokeo ya utafiti uliofanywa kwa minajili ya shahada ya uzamili katika Elimu ya Kiswahili.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
20

Wataka, Nabangi Joan, Susan C. Choge, and Luganda Musavi Manasseh. "Tathmini Linganishi kati ya Mtalaa wa 8.4.4 na wa Umilisi wa 2.6.6.3 katika Ufundishaji wa Fonimu za Kiswahili katika Kiwango cha Chekechea." East African Journal of Swahili Studies 3, no. 1 (January 8, 2021): 1–9. http://dx.doi.org/10.37284/eajss.3.1.267.

Full text
Abstract:
Mtalaa ni mpangilio ambao huweka malengo katika ufunzaji wa wanafunzi. Unatumika kama mwongozo kwa walimu ambao huweka viwango vya matokeo ya mwanafunzi sawia na uwajibikaji wa mwalimu. Nchi ya Kenya imeshuhudia mabadiliko ya mitalaa mbalimbali tangu ilipojinyakulia uhuru. Nafasi ya mtalaa wa uhuru wa 7.4.2.3 ilichukuliwa na 8.4.4 mwaka wa 1985 ambao nafasi yake kwa sasa inachukuliwa na mtalaa mpya wa umilisi wa 2.6.6.3 ambao ulianzishwa mwaka wa 2017. Mitalaa hii imefafanua vipengele mbalimbali kwa kutumia mbinu mbalimbali za ufundishaji na ufunzaji. Kwa hivyo, lengo la nakala hii ni kutathmini kiulinganishi ufundishaji wa fonimu za Kiswahili katika kiwango cha chekechea katika mtalaa wa 8.4.4 unaoondolewa, na katika mtalaa mpya wa umilisi wa 2.6.6.3. Mtalaa wa 7.4.2.3 na wa 8.4.4 iliegemea sana uwezo wa mwalimu, yeye ndiye aliyechukua jukumu kubwa katika mchakato wa ufundishaji kuliko wanafunzi. Tofauti na mitalaa hiyo miwili, mtalaa wa 2.6.6.3 unampa mwanafunzi jukumu kubwa katika mchakato wa ujifunzaji kuliko mwalimu. Makala haya pia yamechunguza kiulinganishi ubora na udhaifu wa mbinu mbalimbali za ufundishaji wa fonimu za Kiswahili katika kiwango cha chekechea katika mitalaa ya 8.4.4 na mpya wa 2.6.6.3. Nadharia ya Piaget ya Utambuzi imeongoza makala haya. Makala haya yanaripoti baadhi ya matokeo ya utafiti uliofanywa kwa minajili ya shahada ya uzamili katika Elimu ya Kiswahili.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
21

Murimi, Jackline Njeri. "MWINGILIANO WA UTANZU WA MODERN TAARABU- MIPASHO NA MAIGIZO." Advances in Social Sciences Research Journal 8, no. 1 (January 24, 2021): 186–97. http://dx.doi.org/10.14738/assrj.81.9604.

Full text
Abstract:
Muziki wa taarab umepata mabadiliko makubwa na kusababisha kuwepo kwa aina mbili kuu za Taarab: Taarab Asili na Modern Taarab.Utafiti huu ulihakiki mwingiliano tanzu katika Taarab-Mipasho. Malengo ya Makala hii yalikuwa ni kuchanganua miktadha mbalimbali ya mwingiliano tanzu katika muziki wa Taarab ya Mipasho na utanzu wa maigizo na kutathmini dhima ya mwingiliano huo katika muziki wa Taarab ya Mipasho. Makala hii iliongozwa na nadharia ya mwingilianomatini iliyoasisiwa na Julia Kristeva (1960) baada ya kuizua kutokana na nadharia ya Mikhail Bakhtin ya Usemezano ambapo imetumika kushughulikia mwingiliano tanzu katika Taarab-Mipasho. Pia nadharia hii imetumika katika kufafanulia uhuru na ubunifu wa mtunzi wa kuingiza vipengele vipya katika kazi. Utafiti huu ulichukua muundo wa kimaelezo. Ukusanyaji data ulihusisha usikilizaji, utazamaji na unukuzi daftarini wa nyimbo za Taarab ya Mipasho ili kupata mistari, vifungu vya maneno na stanza zilizobainisha mwingiliano tanzu. Sampuli ya utafiti ilikuwa nyimbo 32 za muziki wa Taarab ya Mipasho ambazo ziliteuliwa kumaksudi. Uchanganuzi na uwasilishaji wa data ulitolewa kwa njia ya maelezo ya kina yaliyohusisha udondoaji na ufafanuzi wa mistari, vifungu vya maneno na stanza zenye kudhihirisha mwingiliano tanzu kutoka kwa data asili. Kutokana na matokeo ya utafiti, mwingilianotanzu mkubwa ulibainika katika uwasilishaji wa muziki wa Modern Taarab ya Mipasho uliorejelewa. Utafiti huu unawachochea wahahakiki wengine wa fasihi simulizi katika kufanya uchunguzi zaidi katika mitindo mingine ya nyimbo za modern taarab kwa misingi ya nadharia mbalimbali za fasihi. Aidha, kutokana na utafiti huu, ilitarajiwa kuwa watafiti wataweza kulinganisha na kulinganua mitindo tofauti ya taarab. Hatimaye, mtafiti anapendekeza tafiti zaidi zifanywe ili miongoni mwa mengine, kusuluhisha mgogoro kuhusu taarab ya mipasho, uwezekano wa kujumuisha nyimbo za taarab miongoni mwa vipera vya utanzu wa nyimbo katika awamu zote za usomi na uhakiki wa fasihi simulizi kwani muziki wa taarab na hasa mipasho bado unahitaji utafiti Zaidi.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
22

Kimonye, Naomi Ndumba, and Leonard Chacha Mwita. "Uchanganuzi wa Kimofosintaksia wa Viangami katika Lugha ya Kiswahili." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (January 4, 2022): 1–11. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.519.

Full text
Abstract:
Dhamira ya makala haya ni kuonyesha sheria zinazozingatiwa wakati wa kuambisha viangami katika lugha ya Kiswahili. Viangami ni mofimu zinazojisimamia kisintaksia lakini kifonolojia ni tegemezi. Uchunguzi huu umeongozwa na nadharia Boreshaji. Kwa mujibu wa Nadharia Boreshaji, lugha yoyote ile ulimwenguni ina maumbo ya ndani na maumbo ya nje (Prince na Smolensky,1993). Maumbo haya hutumika kuzalisha maumbo tokeo tofauti. Umbo la nje hutokea baada ya umbo la ndani kubadilishwa. Data iliyotumika katika utafiti huu ilipatikana maktabani. Vitabu mbalimbali vya kisarufi na isimu vilitumika. Usampulishaji wa kimakusudi ulitumika. Vitabu vilivyochapishwa kwa lugha ya Kiswahili viliteuliwa kimakusudi. Vitabu hivi ni pamoja na riwaya, tamthilia, mashairi na vitabu vya kiada. Data ilikusanywa kwa mbinu ya kusoma na kunukuu. Matokeo ya utafiti yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali. Baada ya utafiti, imebainika kuwa shughuli ya kuambisha vipashio vya kisarufi hufanywa kwa uangalifu mkubwa sana. Data iliyopatikana inaweka wazi uambishaji wa viangami katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu utawafaa walimu, wanafunzi na wataalamu wa isimu. Pia waandishi wa kazi za isimu na fasihi watafaidika.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
23

Ngari, Chege Joel. "Uamilifu wa Kipragmatiki wa Kirai Nomino (KN) Katika Kiswahili." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (September 21, 2022): 330–40. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.853.

Full text
Abstract:
Makala haya yalitalii uamilifu wa kipragmatiki wa kirai nomino katika sintaksia ya Kiswahili. Pragmatiki hujihusisha na namna watu wanavyotumia lugha katika muktadha na hali halisi ya mawasiliano. Hivyo basi, pragmatiki ni taaluma inayochunguza maana kulingana na muktadha fulani. Miongoni mwa maana za kimuktadha zilizoshughulikiwa ni pamoja na: maana dhanishi, maana tagusanishi na maana matinishi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni Sarufi Amilifu Mfumo (SAM) iliyopendekezwa na Halliday. Umuhimu wake ni kwamba inaeleza jinsi lugha inavyotumika katika hali halisi ya mawasiliano. Mbinu za utafiti zilizoongoza utafiti huu ni mahojiano na uchunzaji. Mbinu ya uchunzaji ilitumika ambapo maongezi ya wazungumzaji yalirekodiwa. Mbinu hizi zilikamilishana na kujengana kila mojawazo ikisawazisha mapungufu ya nyingine. Data ya maktabani ilitumika kuweka misingi ya ukusanyaji wa data ya nyanjani ambayo ilikusanywa kwa maswali ya mahojiano. Data katika makala haya ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya majedwali na maelezo. Walengwa wa utafiti huu walikuwa ni: wahadhiri na walimu, vijana waliomaliza shule ya upili na vyuo na wanafunzi wa shule za upili na vyuo. Makala haya yaliweka bayana namna kirai nomino kinavyoweza kutumika kufumba ujumbe kipragmatiki katika mawasiliano. Makala haya yanatoa nafasi ya kupigiwa mfano ya kuchangia katika taaluma ya pragmatiki na isimu kwa jumla.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
24

Atukunda, Edwine, Owen McOnyango, and Deborah Amukowa. "Mchango wa Mashairi ya Kiganda katika Kuendeleza Muundo wa Ushairi wa Kiswahili Kupitia Ufunzaji na Ujifunzaji." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (June 27, 2022): 171–82. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.724.

Full text
Abstract:
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa vizuri katika mtihani wa kitaifa. Upande wa Kiswahili, kuna ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili na ugumu huu umesababisha matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa katika somo la ushairi wa Kiswahili nchini Uganda. Wanafunzi hawa wanasomea katika mandhari sawa, kwa hivyo utendaji wao kwenye mtihani unastahili kuwa sawa. Kwa hivyo, makala hii imechanganua mchango wa ushairi wa Kiganda katika maendeleo ya ushairi wa Kiswahili kimuundo. Madhumuni ya makala hii ni: Kufafanua jinsi muundo wa ushairi wa Kiganda unavyoweza kuendeleza muundo wa ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji. Kudadavua jinsi muundo wa ushairi wa Kiswahili unavyoweza kuvunja mipaka iliyowekwa na kupanuka. Makala hii imeongozwa na nadharia ya umuundo ambayo iliasisiwa na Ferdinanda De Saussure (1909) Mihimili ya nadharia hii ni fasihi inastahili kuchunguzwa kama muundo mmoja uliojengwa kwa vipengele tofauti vinavyoshirikiana kukiunda kitu kizima. Pili, huchunguza vipengele mbalimbali vya mfumo wa fasihi kwa kuchunguza jinsi vinavyohusiana na kuchangiana katika kukamilisha kazi husika. Tatu, hulenga maana katika matini ya kifasihi na kupuuza maswala mengine ya nje kama muktadha. Mashairi yalikusanywa kutoka diwani mbili za Kiswahili na mbili za Kiganda. Mashairi 60 yalikusanywa; yaani, 30 ya Kiganda na 30 ya Kiswahili na 15 yalichaguliwa kutoka kila diwani kwa kutumia uteuzi nasibu. Mashairi yatatolewa kwenye diwani za Kiswahili; “Malenga wa ziwa kuu” na “Malenga wa karne moja” na za Kiganda; “Ab’Oluganda ab’Enda emu” na “Balya n’ensekeezi”. Kundi lengwa ni walimu watano wa Kiganda na watano wa Kiswahili ambao walichaguliwa kimakusudi na kushiriki katika uchambuzi ambao uliandamana na maoni yao kuhusu ujifunzaji na ufunzaji wa ushairi. Makala hii ilifafanua jinsi mwalimu wa ushairi wa Kiswahili anavyoweza kuhamisha maarifa kutoka ushairi wa Kiganda hadi wa Kiswahili.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
25

Prof. Wendo Nabea, Harrison Onyango Ogutu; Dr Sheila Wandera;. "Ujitokezaji wa Hejemonia Katika Asasi Za Kijamii: Mfano wa Dharau ya Ini, Msimu wa Vipepeo, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi." Editon Consortium Journal of Kiswahili 2, no. 1 (June 30, 2020): 76–88. http://dx.doi.org/10.51317/ecjkisw.v2i1.130.

Full text
Abstract:
Watu wenye uwezo na mamlaka wanatumia madaraka yao kuwatawala wengine kwa vishawishi anuwai. Asasi za kijamii kama vile ndoa, shule, vyuo, utamaduni na malezi zinaendelea kushuhudia utawala wa wenye uwezo juu ya wasio na uwezo. Licha ya ubayana wa hali hii katika jamii, watafiti na wahakiki wa tanzu za fasihi andishi hususan riwaya hawajaonyesha namna hejemonia inajitokeza katika asasi za kijamii. Ingawa wahakiki wengi wa riwaya wameweza kuangazia masuala ya kila nui kuhusu asasi za kijamii, suala la hejemonia katika taasisi hizo lilihitaji kumulikwa. Hivyo, utafiti huu ulidhamiria kuchunguza ujitokezaji wa hejemonia katika safu ya hejemonia ya jamii kwa mujibu wa riwaya za Msimu wa Vipepeo, Dharau ya Ini, Msururu wa Usaliti na Majilio ya Mkombozi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya hejemonia ilioasisiwa na Antonio Gramsci katika makala aliyoyaandika akiwa gerezani kati ya mwaka wa 1923 na 1936. Nadharia hii inaelezea udumishaji wa uwezo na mamlaka ya tabaka moja kuu juu ya tabaka dogo kwa kutumia mikakati anuwai. Utafiti huu ulifanyiwa maktabani ambako utaratibu wa upekuzi wa yaliyomo ulitumika kukusanya data huku mbinu ya kithamano ikitumika kuchanganua data hiyo. Matokeo ya utafiti huu yatawafaa wahakiki na watafiti wa lugha na fasihi huku yakiweka wazi uwepo wa hejemonia katika asasi za jamii.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
26

Edwine, Atukunda, Dkt Deborah Amukowa, and Dkt Owen McOnyango. "Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda." East African Scholars Journal of Education, Humanities and Literature 5, no. 4 (April 30, 2022): 116–27. http://dx.doi.org/10.36349/easjehl.2022.v05i04.003.

Full text
Abstract:
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa vizuri katika mtihani wa kitaifa. Upande wa Kiswahili, kuna ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili na ugumu huu umesababisha matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa katika somo la ushairi wa Kiswahili nchini Uganda. Wanafunzi hawa husomea katika mandhari sawa. Hili linazua swali: kwa nini wanafunzi wanaofanya mtihani wa ushairi wa Kiganda watende vizuri kuliko wanafunzi wa ushairi wa Kiswahili? Makala hii itaweka wazi mambo ambayo ushairi wa Kiswahili waweza kukopa kutoka ushairi wa Kiganda na kujiendeleza. Madhumuni ya makala hii yatakuwa: Kudadavua jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kusahilisha mtindo katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji na kutathimini jinsi ushairi wa Kiganda unaweza kukuza maudhui katika ushairi wa Kiswahili kupitia ufunzaji na ujifunzaji. Mashairi yalikusanywa kutoka diwani mbili za Kiswahili na mbili za Kiganda. Mashairi 60 yalikusanywa yaani 30 ya Kiganda na 30 ya Kiswahili na 15 yalichaguliwa kutoka kila lugha kwa kutumia uteuzi nasibu. Mashairi yalitolewa kwenye diwani za Kiswahili; “Malenga wa ziwa kuu” na “Malenga wa karne moja” na za Kiganda; “Ab’Oluganda ab’Enda emu” na “Balya n’ensekeezi”. Makala hii unafafanua jinsi mwalimu wa ushairi wa Kiswahili anavyoweza kuhamisha maarifa kutoka ushairi wa Kiganda hadi wa Kiswahili. Utamsaidia kuendeleza ushairi wa Kiswahili kuhamisha maarifa ya ujifunzaji na ufunzaji kutokana na ushairi wa Kiganda ili kusahilisha ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
27

Nandang, Ade, and Nopri Dwi Siswanto. "Dalālatu Alfāẓ Jaram wa Junāḥ wa Dzanb fī al-Qurˈān al-Karīm wa Qiyamuhā at-Tarbawiyyah." LISANUDHAD 7, no. 2 (December 17, 2020): 77. http://dx.doi.org/10.21111/lisanudhad.v7i2.6746.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
28

Permatasari, Audina. "Al-ʽĀṭifah fī Qiṣṣah Īlāż wa Bilāż wa Īrākh fī Kalīlah wa Dimnah li Ibni Muqaffaʽ." JILSA (Jurnal Ilmu Linguistik dan Sastra Arab) 4, no. 1 (January 21, 2022): 21–34. http://dx.doi.org/10.15642/jilsa.2020.4.1.21-34.

Full text
Abstract:
Kisah Kalilah wa Dimnah merupakan kisah fabel berbingkai, dan salah satunya terselip kisah Ilaz Bilaz dan Irakh. Kisah tersebut sarat akan emosi yang dibangun di dalamnya sebagai sebuah cerminan karakter dan tokoh dengan berbagai macam aktivitas tingkah laku yang berinteksi dengan alam dan lingkungannya. Emosi adalah perwujudan psikologi yang muncul dalam diri manusia seperti marah, sedih, benci, senang, cinta, dan lain-lain. Emosi berhubungan dengan keadaan seseorang dan berpengaruh pada kejiwaannya. Melalui metode deskriptif kualitatif, artikel ini bertujuan untuk mengungkap dan membahas perasaan/emosi (athifah) yang terkandung dalam kisah Ilaz Bilaz dan Irakh karya Ibn al-Muqaffa’ yang menjadi bagian dari magnum opusnya, yaitu Kalilah wa Dimnah.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
29

Babusa, Hamisi. "UKOPAJI WA LUGHA: ETIMOLOJIA NA MABADILIKO YA MAANA NA UTAMKAJI WA MSAMIATI WA KIARABU KATIKA KISWAHILI." International Journal of Advanced Research 7, no. 09 (September 30, 2019): 101–5. http://dx.doi.org/10.21474/ijar01/9635.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
30

Luvanda, Maureen K. "Uchambuzi wa Hali ya Ukatili wa Wanyama Katika Mashamba Nchini Kenya." East African Journal of Swahili Studies 5, no. 1 (April 19, 2022): 50–63. http://dx.doi.org/10.37284/jammk.5.1.626.

Full text
Abstract:
Hati hii imetayarishwa kushughulikia maswala ya ustawi wa mifugo nchini Kenya na kuongezeka kwa ujuzi wa wafanyikazi wa mstari wa mbele kuhusiana na swala la viwango na sheria zinazoongoza ustawi wa wanyama. Lengo kuu lilikuwa kutathmini vipengele vya utunzaji wa wanyama, matibabu na ujuzi wa ustawi wa wanyama miongoni mwa wakulima nchini Kenya. Tuligundua ya kwamba wakulima wengi hawaelewi kimsingi ustawi wa wanyama kwa kuwa wengi wao hawajapata mafunzo maalum na wengi wao hawajui sheria zilizopo kuhusu mada hiyo. Wadau wengine walitathminiwa pia kwa madhumuni ya kulinganisha na madaktari wa mifugo na kama ilivyotarajiwa walikuwa na ujuzi zaidi kuhusu ustawi wa wanyama na desturi zinazoikuza. Hata hivyo, kadhaa walionelea kwamba serikali haikuweka juhudi za kutosha katika kukuza ufahamu wa umma au hata kuhamasisha jamii dhidi ya ukatili wa wanyama. Kulingana na maelezo yaliyopatikana, hati hii iliundwa ili kutoa suluhisho ya vitendo linapohusu swala la kuongeza ustawi wa wanyama nchini Kenya. Mapendekezo haya ni pamoja na kuishinikiza serikali kuanzisha sera madhubuti dhidi ya ukatili wa wanyama, kuwahimiza maafisa wa sheria kutekeleza sheria za sasa kwa kutumia mifumo ambayo tayari iko na kuhimiza mazungumzo ya jamii na ushiriki wa moja kwa moja wa watu walio mstari wa mbele.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
31

Evans, Kate M., Bruce H. Barritt, Bonnie S. Konishi, Marc A. Dilley, Lisa J. Brutcher, and Cameron P. Peace. "‘WA 2’ Apple." HortScience 45, no. 4 (April 2010): 668–69. http://dx.doi.org/10.21273/hortsci.45.4.668.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
32

Evans, Kate M., Bruce H. Barritt, Bonnie S. Konishi, Marc A. Dilley, Lisa J. Brutcher, and Cameron P. Peace. "‘WA 5’ Apple." HortScience 46, no. 6 (June 2011): 958–60. http://dx.doi.org/10.21273/hortsci.46.6.958.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
33

Evans, Kate M., Bruce H. Barritt, Bonnie S. Konishi, Lisa J. Brutcher, and Carolyn F. Ross. "‘WA 38’ Apple." HortScience 47, no. 8 (August 2012): 1177–79. http://dx.doi.org/10.21273/hortsci.47.8.1177.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
34

Kamoche, Jidlaph Gitau, and Simon Gikandi. "Ngũgĩ wa Thiong'o." World Literature Today 75, no. 3/4 (2001): 121. http://dx.doi.org/10.2307/40156785.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
35

Ogude, James, and Simon Gikandi. "Ngugi wa Thiong'o." Canadian Journal of African Studies / Revue Canadienne des Études Africaines 36, no. 2 (2002): 380. http://dx.doi.org/10.2307/4107218.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
36

Nazareth, Peter, Oliver Lovesey, and Bernth Lindfors. "Ngũgĩ wa Thiong'o." World Literature Today 74, no. 4 (2000): 793. http://dx.doi.org/10.2307/40156097.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
37

Power, Pamela J. "Askari wa kifaru." Jung Journal 3, no. 2 (April 2009): 94–95. http://dx.doi.org/10.1525/jung.2009.3.2.94.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
38

MILUBI, N. A., and R. N. Madadzhe. "MUKOSI WA LUFU." South African Journal of African Languages 5, sup1 (January 1985): 38–46. http://dx.doi.org/10.1080/02572117.1985.10586618.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
39

LITABE, N. S., and C. F. Swanepoel. "WA LLA MOLODI." South African Journal of African Languages 5, sup1 (January 1985): 75–78. http://dx.doi.org/10.1080/02572117.1985.10586626.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
40

MPEPELE, D. L. M., and S. Maje Serudu. "MORITI WA TATE." South African Journal of African Languages 13, sup3 (January 1993): 14–26. http://dx.doi.org/10.1080/02572117.1993.10586993.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
41

MUDAU, T. T., and N. A. Milubi. "MURUNZINI WA THAVHA." South African Journal of African Languages 13, sup3 (January 1993): 96–99. http://dx.doi.org/10.1080/02572117.1993.10587011.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
42

KHOSA, K. A., and N. C. P. Golele. "NKHARISA WA MIHARIHARI." South African Journal of African Languages 15, sup1 (January 1995): 41–42. http://dx.doi.org/10.1080/02572117.1995.10587092.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
43

Salti, Ramzi M., and Nawal El Saadawi. "Jannât wa-Iblîs." World Literature Today 67, no. 2 (1993): 437. http://dx.doi.org/10.2307/40149293.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
44

Allen, Ailsa. "Transplantation in WA." Australian Critical Care 6, no. 3 (September 1993): 25. http://dx.doi.org/10.1016/s1036-7314(93)70143-5.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
45

Jackson, Kennell, and Simon Gikandi. "Ngugi wa Thiong'o." International Journal of African Historical Studies 34, no. 3 (2001): 680. http://dx.doi.org/10.2307/3097577.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
46

W., G. "Wa No Kutsurogi." Cornell Hotel and Restaurant Administration Quarterly 33, no. 1 (February 1992): 14. http://dx.doi.org/10.1177/001088049203300115.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
47

Muflihah, Muflihah, and Muhammad Bashori. "Dirāsah ‘An Al-Luṣgah wa Al-Laknah wa Al-Laḥn." LISANUDHAD 6, no. 1 (September 16, 2019): 133. http://dx.doi.org/10.21111/lisanudhad.v6i1.3286.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
48

Zein, Fuad Muhammad. "AL-SIYASAH WA AL-AKHLAQ �INDA MACHIAVELLI WA AL-MAWARDI." Indonesian Journal of Islamic Literature and Muslim Society 1, no. 1 (October 10, 2016): 109. http://dx.doi.org/10.22515/islimus.v1i1.256.

Full text
Abstract:
The issue of politics and ethics are two sides of a coin that invited attention of medieval scholars both in the West and the Islamic world. Although interrelated, but the implementation raises the difference between the two worlds. For the Western world, represented by Machiavelli, politics and ethics should be separated. A ruler should not be bound by ethics and tradition, and does not need to obey the law. In domestic relations affairs, a ruler must collect on his love and fear of people. While in foreign affairs, a ruler must reflect "a smart wolf and a strong lion. As for the world of Islam represented by al-Mawardi, politics and ethics cannot be separated. Even the basics of government, he said, are inspired by Islamic values based on the Qur'an and Hadith. Even a ruler must have and improve its ethical because it is a basic rule.
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
49

AhmedMakallo., Maimuna. "UCHAMBUZI WA KISIMIOTIKI WA MISEMO YA KWENYE MAKAWA YA ZANZIBAR." International Journal of Advanced Research 7, no. 7 (July 31, 2019): 604–16. http://dx.doi.org/10.21474/ijar01/9400.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
50

Asif, Muhammad, and Fakih Abdul Azis. "AL-SHAYKH MAIMOEN ZUBAIR WA AFKĀRUH ‘AN AL-ISLĀM WA AL-WAṬANIYAH WA AL-TASĀMUH FĪ INDŪNĪSIYĀ." JOURNAL OF INDONESIAN ISLAM 15, no. 1 (June 1, 2021): 223. http://dx.doi.org/10.15642/jiis.2021.15.1.223-246.

Full text
APA, Harvard, Vancouver, ISO, and other styles
We offer discounts on all premium plans for authors whose works are included in thematic literature selections. Contact us to get a unique promo code!

To the bibliography